miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,110
Huyu lazima atakuwa MANKA na hapo ni KISHUMUNDU Cc miss chagga
Mkuu, nikidhani kuna flat screen inauzwa kumbe ujinga mtupu.
Nimejisikia vibaya baada ya kuona huu upuuzi.
Huwa nawashauri ndugu zangu humu, kama vipi kaa kimya kuliko kuposti upumbavu, ukimya una akili nyingi kuliko maneno yasiyokolea munyu.
Mods, hebu tuondoleeni picha ya huyu dada humu jukwaani; kwa nini mnakubali umbile lake kuwa hoja? Nani aliomba kuumbwa jinsi alivyo humu ndani?
Vv
nakuona unavyoonichokoza loh
haya yote ni chachu ya maendeleo tulia kijana
Hahahahaaaaa.....kumbe umesikia...kausha basi....nitakununulia soda....
Jiwe gizani....
Read between the lines....
He wewe nawe mchagga...duh...
Mkuu, nikidhani kuna flat screen inauzwa kumbe ujinga mtupu.
Nimejisikia vibaya baada ya kuona huu upuuzi.
Huwa nawashauri ndugu zangu humu, kama vipi kaa kimya kuliko kuposti upumbavu, ukimya una akili nyingi kuliko maneno yasiyokolea munyu.
na hao wenye flats ni mimi na miss chagga.. mshana jr ni mtani wetu, we uki mind kausha kimya kimya halafu pita hivi mkuu. wenye flats ndo kwanza tunakenua. usi panic bro
yani sisi ndiyo tungemind siyo yeye alafu huyo hapo ni mmoja wetu
tena mchaga pure sina hata chembe ya impurities mkuu.. am proudly made in Kilimanjaro