Flat screen ya ukweli mno

miss chagga huntakii mema we mwanamke.. shindwa na ulegee. hii hii pasi nakomaa nayo kama shilole na music wa bongo
 
Last edited by a moderator:
Flat screen ndio nini? Sijaelewa au ndio mnawatukana watoto wa watu. mnajua nyinyi mtazaa wa vipi?

Mkuu, nikidhani kuna flat screen inauzwa kumbe ujinga mtupu.

Nimejisikia vibaya baada ya kuona huu upuuzi.

Huwa nawashauri ndugu zangu humu, kama vipi kaa kimya kuliko kuposti upumbavu, ukimya una akili nyingi kuliko maneno yasiyokolea munyu.
 
Mods, hebu tuondoleeni picha ya huyu dada humu jukwaani; kwa nini mnakubali umbile lake kuwa hoja? Nani aliomba kuumbwa jinsi alivyo humu ndani?

Vv
 
Mkuu, nikidhani kuna flat screen inauzwa kumbe ujinga mtupu.

Nimejisikia vibaya baada ya kuona huu upuuzi.

Huwa nawashauri ndugu zangu humu, kama vipi kaa kimya kuliko kuposti upumbavu, ukimya una akili nyingi kuliko maneno yasiyokolea munyu.
Jukwaa limevamiwa
 
Kumbe ndo flat screen, dah sikujua kabisa. Asante JF
Ova
 
Mkuu, nikidhani kuna flat screen inauzwa kumbe ujinga mtupu.

Nimejisikia vibaya baada ya kuona huu upuuzi.

Huwa nawashauri ndugu zangu humu, kama vipi kaa kimya kuliko kuposti upumbavu, ukimya una akili nyingi kuliko maneno yasiyokolea munyu.

Nami sikupenda hayo maneno. Kuna siku watakuwa na watoto, hujui ya kesho bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…