Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

nyeto, kuber, kuvaa khanga na kwenda kulala kwenye bweni la wasichana, hapo unatembeza kitu till morn, kupiga sim home ( unawekwa ktk tundu la choo cha shimo unaanZa kuwaambia wazazi wako pale kuwa maisha ni mazuri shuleni) kuwapaka rosheni njuka au kuwawekea maharage sehem zao tupu za nyuma
 
Inaonyesha ni ww uliesema kichwa chako ni kikubwa.
 
We pugu boy tumesoma wote... Umenikumbusha mbali sana issue ya mwisho wa lami kuopewa mikate.. Kudrop na kuto kuoga pamoja na kuwashwa....tulisoma wote aisee... Kuna jamaa alihamia pale Pugu akawa anaoga kila siku akapata fungus za kwenye nundu za kukalia.. Akatibiwa. Alipopona akaacha kuoga.. Alikuwa anakwenda kuoga weekend akidrop kwao..
Inawezekana alikuwa form one wa kiangazii
 
Kutongoza mademu muda wa michezo na hata Kula mzigo.

Kuomba get pass za uongo ili tu ukwepe ukaguzi wa bweni kwan ilikua shule ya Jeshi.


Kukwepa parade za asubuhi kwa kuofia fimbo

Kuimba nyimbo za Matusi wakati wajogging xa asubuhi.
 

Hii shule kama naifahamu
 
Bwenini bwana sikununua pen kiwi sabuni mafuta miaka yote na bado nilisurvive

Kuna dogo aliniibia chupi ya ndani, yale tuliokuwa tunavaaga ya zamani, nilifua nikaanika duuuuuuu dogo kaona kama mpya vile kabeba, hahahahahahahaha BWENI hatari sana
 
Siku ya wali na nyama kila MTU kwenye group alkua anataka agawe ila watemi wagroup tulkua tunagawa siku hzo nyeti nakupiga mchinjo wanguvu wale wanyonge nyonge

wewe ulisoma KWIRO nini??? kwiro tulikuwa tunaletewa picha za mademu wa machipi/ifoza baaasi watu wanagombea kama wafungwa wa kihindi
 
Haaaaaaaaaa life la shule noma xnaa hasa kibiti boys pale daaah ganglion xnaaa
Migomo ya kuchoma shule kwa sn
Kuwazalisha mabintiiii na kuwakimbia watoto afu
Kuna jamaa alikuwa bingwa wa kunywa uni a,k,a polaa hatariii
 
Kibiti raha yake migomo tu haaaa na fungus daaaaaah napamic xnaaaaa
 
Wale wa Kantalamba tukutane Chanji kwa Mbombo ngafu au kwa mama kalekwa kwenye Wanzuki na kimpumu.
Na wale wa Jamhuri High school Dodoma tukutane 84 Club
 
aaaah aaah umenikumbusha mbali sana, kijana enzi za vimbuzi , na maza fishi , ugali maharage unapondea na maparachichi aaaah aaah, then unakuta kama unakula ugali nyama, sometime unatunza bondo mpaka asubuhi aaah kwa ajili ya uji , jumapili mikate na chai daah hapo akosekani mtu aaaah aaah,

kupiga msuli kwenye mahindi ,kudadadeki na kudoji class daah hatari sana , kuoga mpaka siku za weekend barid kama urusi,enzi hizo kuzamia kwa wzenji tukiwasubiri uwanja wa malale hata kujifanya wapiga msuli mesin kuvutia totozi,

maisha ya bording raha sana ata ukiwa mzembe utakomaa tu.
 
Dah sitasahau siku nimeingia Staff Room baada ya masomo mida ya saa 9 hivi nakuta kuna walimu wawili halafu chakula kikaletwa na mpishi, ilikuwa wali maharage nikasema moyoni hapa sitoki hadi wamalize. Uzuri nilikuwa nafahamiana na mmoja wao vizuri kwahiyo haikuwa shida kubuy time.

Walipomaliza nikaondoka na wali takribani robo ndoo na maharage nikaenda kujikaa chimbo, hahahaha nilikula ule wali kuanzia saa 9 hadi saa 12 jioni, nilikuwa nakula nikishiba nabofya simu kikipungua tumbo naendelea kula.
 
1. shuleni kwetu kulikuwa na tabia ya viongozi kupita mabwenini saa kumi na moja asubuhi kuamsha watu na atakayekutwa kalala bakora za kufa mtu. sasa siku moja tuka jipanga mtu mmoja akakaa mlangoni ile wamaingia tu mlango ukafungwa, asee tulikuwa na fimbo za kutosha na chaga tuliwachapa sana, na kesi tukashinda,

2. kuiba mahindi na kuchemsha kwenye ndoo kwa kutumia heater juu ya dari, yaani dari limejaa magunzi mpaka lina taka kuanguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…