hapo makongo na mm nimesoma aise afande miraji alikua ni shida tupu pia kuna babu chacha naye alikua matata sana aise alikua anapenda kuwabusu wanafunzi wa kikeMakongo;
Kuna mtu alikuwa mtata sana anaitwa Afande Miraji(RIP) alikuwaga NA kawaida ya kupita kitaan kwetu saa 1 usku kila akiwa anatoka job kwake Makongo sec school ...sasa mzee wangu NA mm mili ilikuwa inaendana kdgo alikuwaga naye mjeda NA alikuwa anapenda sana kukaa nje mida hiyo usiku....siku Miraji alipopita nikiwa nimekaa mm pale nje mzee hakuwepo jamaa akatoa shikamo kama kawaida yake NA mm nikaitikia marahaba kumbe akaishtukia ile saut sio ya mshua akaenda zake kimya kimya ...kesho yake jamaa alikuja nichomoa darasan akanipeleka ofisin kwake niliporud joints zote mwilin hazifany kaz maana push ups,kichura chura ndio zilikuwa adhabu zake wiki nzima najisaidia aja kubwa nimesimama maana kuchuchumaa siwez ,...Bas toka siku hiyo nikawa sikae nje ya home kwetu ikifika SAA 1 usku
Kigonsera Sec School
1.Kulikuwaga kuna kajamaa kamoja kutoka Mbeya kalikuwa kanawaingilia wanaume wenzake kishirikina,Aliweza kuwaingilia wanafunzi wengi sana(Mm hakuwahi nigusa hata chembe)...Sasa siku akaingia anga za dogo mmoja (nahisi naye alikuwa ninja ) kutoka Rukwa ndipo alipodakwa kichapo alichopata nusu wamuue ikabid baadae wamuhamishe shule ndio ikawa salama yake
2. kuna Teacher mmoja Yank flan hiv alikuwa anatoka Songea mjin anakuja Mbnga(kigonsera) kutupigia practical za chemistry NA Bios NA kesho yake anageuza, Yy alikuwa rafik wa wanafunzi kwahiyo akawa analala kwenye madom ya wanafunz ...Kulikuwa kuna Teacher mmoja kila ikifa SAA 12 kasoro anapita Dom hadi Dom kuamsha wale ambao hawajasmka, NA kawaida yake akiingia tu akakukuta umelala anatandika bakora hapo hapo juu bila hata kukustua ww unakuja shtukia kitu paaah! ...Sasa siku akaingia room ambapo teacher alikuwa kalala NA wanafunz ndan ahahahahaha jamaa alimtandika fimbo moja ya nguvu yule mwalimu akiwa usingzin ,teacher ikabid apige kelele "mm mwalimu wa practicaaaaaal sio mwanafunz"
Pugu Sec School.
1.Baada ya kukimbia Kigonsera kutokana NA barid Kali nikajiunga Pugu.....Huku identity ya kwamba huyu ni mwanafunz wa Pugu ilikuwa ni kujikuna sehem za siri kwa7bu ya fungus kutokana NA shida ya maji MTU alikuwa anaoga ikifika ijumaa au jmos akiwa anadrop kwenda town maji pale yalikuwa ya pond...
2. Tulikuwa NA kawaida ya kuwa NA magroup ya wanafunz wasiozid 10 katika kugawana chakula,wali au ugali NA mboga zinajazwa kwenye sufuria mbili kubwa kisha anateuliwa mmoja kuwagawia member wa group ambao sahan zao zimetandazwa chini....sasa siku nikachelewa dining bwana alafu ilikuwa siku ya wali nyama(ilikuwa kama sikukuu Siku hii maana attendance inakukuwa nzur hata wale watoro waliokubuhu wanakuwepo) ...Baada ya kukosa kwenye group letu nikaona kuna group linatafuta chimbo ili waanze kugawana menu ikabidi niunge walipotandaza sahaan chin NA mm nikaweka yangu katkat ....Bas yule group leader(jamaa nahis alikuwa NA roho ya Nduli) maana alisambaza chakula Sahan zote tena zimejaa mpaka zinamwagika nyama tatu tatu huku sahan yangu ikiwa nyeupe haina kitu, nilipomuuliza kwann imekuwa hivyo jamaa akanijibu " group letu mzamiaji hana nafasi" daah ikabid niwe mpole tu
Ungeenda kula walikwa mama pendo, au mihogo mwisho wa lamiMakongo;

Ni Unaruhusiwa.. sio Unaluhusiwa1.Dah sitosahau nyeto ya papai au mende ndani ya mto
2. form one unauwangalia mti wa mapeasi ulusiwi ata kuokota likiwa limeanguka
Form 2 unaluhusiwa kuokota na kumpelekea form 3 au form 4. Na form 3 analuhusiwa kuokota na kula kama form 4 hayupo, ila form 4 analuhusiwa kuokota na kutungua na kula. Gambian
Dah! Nimecheka sanaHii nakumbuka sana,nilivyofika form one, siku nimeenda prepo washkaji wa form three wakaja bwenini kwetu wakapiga tranka langu kipepeo wakaiba vijisenti kidogo.
Nilivyorudi nikakasirika sana, nikafanYa uchunguzi nikawagundua. Nikavizia siku form three wameenda shambani nikaingia bwenini kwao nami nikafungua matranka yao hao washkaji wawili.
Nikakuta hamna cha kuiba, hivyo nikaamua tu Kunya na kukojoa humo then nikasepa...[emoji38][emoji38][emoji38]
Tumbo linauma kwa kucheka! Aisedkuna mtu alifoji stam barua ikarudi ikasomwa assemble na headmaster alikuwa ameandika kwa demu wake ahahaaa eti nakupenda kama wali mchuzi
Hahaha Orando katutesa sana.... especially wale tuliokuwa wala flight.. pale ukuta wa salvation army [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sema nn maisha yalikuwa ka mission ivi kila siku.....Dah..miaka hiyo hostel ya jitegemee pale hakuna sheria kivile,masomo ya usiku mnachanganywa girls na boys,afande akiita roll call ya saa 4 watu wengi wanaenda bwenini kulala..wachache wenye mambo yao wanabaki,basi Mida ya kuanzia saa 5 usiku ni hatari mana mitungo ilikua inatokea mara kwa mara,sana sana siku za weekend!
Mungu nisamehe sikuwahi kushiriki(angalau nilikua nashuhidia ktk maficho) baadhi ya mitungo,sasa mwaka Fulani akaja kigoli moja kidato cha kwanza,white,cute..mtoto mbichi,one day kipindi tunakaribia kufunga shule,kakaingia ktk 18 za wahuni,tena walikua form three wakakapiga mtungo zaidi ya watatu...lakini issue I kugundulika na matron wao,mana Hao jamaa walikafanya sanaaaaa nahisi,kesi yake ilikua kubwa sana mana unaonekana mzazi wa Yule binti alikua na Cheo jeshini,na shule ya jeshi!!walifukuzwa kuanzia walioshiriki tukio mpaka walio piga Chabo bila Kula(nashukuru sikuiyo sikua lindo)
Sema sikuhizi sheria kibao..hayo mambo hamna pale,afande ORANDO anafanya yake.
Anawafinyanga finyanga usoni kisha anawabusu ahahahaha....usio akukute sehem sio hyo Babu Chacha utakula fimbo zisizo. NA idadi aiseehapo makongo na mm nimesoma aise afande miraji alikua ni shida tupu pia kuna babu chacha naye alikua matata sana aise alikua anapenda kuwabusu wanafunzi wa kike
Ahahaha Mama P...si mpaka uwe NA hela mkuu? Huko mwisho wa Rami tulikuwa tunaenda tafuta totoz usiku baada ya kula,kuna mshikaji wangu mmoja aliopoa Dada mmoja nyt alipokutana naye kesho yake mchana jamaa kamkimbia demu anasema sio mwenyewe maana mademu wa mwisho wa Lami usiku wanan'gaa ila usiombe ukutane nao mchana utajuta kwann ulilala nae usiku walivyokomaa suraU
Ungeenda kula walikwa mama pendo, au mihogo mwisho wa lami
kwenda kujisaidia na kuoga porini kisa bafu na vyoo ni vichafu
Mkuu kweli tofauti ipo kwa baadhi ya viumbe, wakati wewe unadoji, wengine tulikua tunabundi. Jamaa angu alikua HP, sasa yeye alikua na ofisi yake. Tukaigeuza ofisi yake kama chimbo la kupigia buku. Yaani tunarudi bwenini kulala saa 9, watu wengine washalala. O level hiyo mkuu. Msuli wake haukua wa kitoto.Ukiskia madoja sasa mm ndio nilkua rais wao.
Doja la kimataifa kukaa assemble mara moja kwa wiki.
Kuingia darasan mpaka niskie kuna paper.
Coz shule yetu ilkua porin karbu na mpaka wa burund, bac mapind yang yote kwa por huku nikijiburudidha na ndiz pamoja na maparachich na bang kwa mbal.
Kumchapa fimbo kiongoz yoyote mnaa kwa maticha.
Alaf walichokua wanashangaa sasa matokeo yakibandikwa ubaon nmewaburuza.
Mkuu kweli tofauti ipo kwa baadhi ya viumbe, wakati wewe unadoji, wengine tulikua tunabundi. Jamaa angu alikua HP, sasa yeye alikua na ofisi yake. Tukaigeuza ofisi yake kama chimbo la kupigia buku. Yaani tunarudi bwenini kulala saa 9, watu wengine washalala. O level hiyo mkuu. Msuli wake haukua wa kitoto.