Fitina za marekani zafeli Iran,sasa kuishambulia

Iran imetangaza kukamata zaidi ya waratibu maandamano miambili wakiwa na shehena kubwa ya silaha,vilipuzi na mabomu ya petrol, wakiwemo watumishi wa MOSSAD, shirika la ujasusi Israel

Baada ya kamata kamata hiyo maandamano yamepoteza shinikizo na kupungua tangu alhamisi
Leo shirika la habari la taifa Iran likirusha picha mjongeo kuonesha hali halisi jijini Tehran na kuonekana kuwa shwari

Baada ya maandamano kupoa, Trump ametangaza kuwa Iran inahitaji ukombozi kuliko wakati wowote,kwa maana kwamba sasa fursa ya kuishambulia Iran na kumng'oa ayatollah ni nzuri zaidi

Upande wake Ayatollah kayaagiza majeshi yawe katika utayari wa vita kuliko kipindi cha vita,na miji ya makombora ya Iran Iko tayari

View attachment 3528125
Ingawa utawala wa kidini wa Ayatollah unastahili kung’olewa, Marekani na Israel watakuwa wanajidanganya sana kama wanadhani Iran mpya itakuwa friendly to Israel. Chuki iliyopo kati ya Iran na Israel ni broad and deep rooted, sio chuki kati ya Israel na Ayatollah. Nadhani benefit pekee ambayo Marekani na Israel watapata ni kudhoofika kwa Iran kwa muda, kwasababu itachukua muda kwa Iran kujiimarisha upya na kuwa tishio tena kwa Israel. Obviously, this is far from a permanent solution!
 
Misikiti inachomwa uko ww wenye dini Yao wame goma kubong'oa bong'oa
 
Ingawa utawala wa kidini wa Ayatollah unastahili kung’olewa, Marekani na Israel watakuwa wanajidanganya sana kama wanadhani Iran mpya itakuwa friendly to Israel. Chuki iliyopo kati ya Iran na Israel ni broad and deep rooted, sio chuki kati ya Israel na Ayatollah. Nadhani benefit pekee ambayo Marekani na Israel watapata ni kudhoofika kwa Iran kwa muda, kwasababu itachukua muda kwa Iran kujiimarisha upya na kuwa tishio tena kwa Israel. Obviously, this is far from a permanent solution!
🇺🇸 akishinda vita, watampachika kibaraka wao.. ama watawafitinisha wagombane wenyewe kwa wenyewe, mradi wadhohofike tu ili pasitawqlike kwa amani, wasiweze kurudi kwenye mstari
 
Ingawa utawala wa kidini wa Ayatollah unastahili kung’olewa, Marekani na Israel watakuwa wanajidanganya sana kama wanadhani Iran mpya itakuwa friendly to Israel. Chuki iliyopo kati ya Iran na Israel ni broad and deep rooted, sio chuki kati ya Israel na Ayatollah. Nadhani benefit pekee ambayo Marekani na Israel watapata ni kudhoofika kwa Iran kwa muda, kwasababu itachukua muda kwa Iran kujiimarisha upya na kuwa tishio tena kwa Israel. Obviously, this is far from a permanent solution!
Wanataka mafuta na lithium yao,walimtoa shah na kumsaidia ayatollah baada ya shah kuwataka walipe mirabaha stahiki
 
Hijab na misikiti inaendelea kuchomwa wewe umebaki kutunga habari
Mnafurahia wenzenu wakifa ktk Nchi zao,Mungu kawalaani na nyie jamaa zenu October 29 wameuliwa kama kuku, hamna hamu tena ya kuandamana kenge nyie wagalatia
 
Wagalatia hodari wakufurahi binadamu wenzao wakiuliwa ktk Nchi zao,kisa tu sio wakilistoo!
Mungu kawalaani na nyie jamaa zenu October 29 wameuliwa kama kuku shenzi taipu, na bado mtatiwa sana adabu nyie na makuhani wenu! Mama hataki upuuzi kawatia adabu
 
Back
Top Bottom