Ngigana
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 2,108
- 1,449
Mkurugenzí wa mamlaka ya viwanja vya ndege ampelekè majina sultan ya watmishi wote wa serikali wanaopanda ndege ţofauti na Air Tz
i miss the parrot
Mkurugenzí wa mamlaka ya viwanja vya ndege ampelekè majina sultan ya watmishi wote wa serikali wanaopanda ndege ţofauti na Air Tz
Ni wivu wa kijinga tuFitina zilizoiua Fast Jet sasa zimehamia kwa Precision Air. Precision Air wamepata vikwazo vingi pale uwanja wa Mwl. Julius Nyerere na kuamua kuhamishia Base ya KIA.
Wanafanya fitina kwa washindani wao na matokeo yake tunapandishiwa nauli kwa kukosa optionMwezi April ndugu yangu nilimpokea Airport kutoka Bukoba, aliniambia walikuwa abiria wawili ndani na Rubani na wafanyakazi. Toka siku hiyo niliyategemea haya
Wakitaka wawapige zengwe na Ethiopia wasilete ndege zao hukuTungoje waende Mumbai na kurudi tutajua ndege ya abiria 262 imekwenda na wangapi na imerudi na wangapi. Mimi najiuliza wanakwenda kufanya nini wote hao na wa kuja wanafuata nini Dar?
Sasa hivi tutalazimishwa tu upande kwa bei zao na kama hutaki basi piga mbiziPW na idumu, ATCL bila mshindani itatuumiza
Walidhania ni mchezoATCL
Huwezi kuneemeka bila ushindaniWacha wahame walituumiza sana enzi zao
Hiyo mbona ipo wazi?Precision Air. Na naskia zakunyapia mtumishi ukipanda ndege tofauti na ATCL utakiona
Matatizo ya Presicion yalianza na mmiliki alipomuuzia Kenya Airways.Fitina zilizoiua Fast Jet sasa zimehamia kwa Precision Air. Precision Air wamepata vikwazo vingi pale uwanja wa Mwl. Julius Nyerere na kuamua kuhamishia Base ya KIA.
Huyo mwongo nadhani hata kipawa hajawahi fikaLabda ilikuwa siku ya pasaka ambayo watu wengi huwa hawasafiri.Hiyo route ya Dar-Mwz-BKB ndiyo ina abiria wengi kuliko maelezo.
Na Kenya airways lengo lake ilikuwa kuiua presicionMatatizo ya Presicion yalianza na mmiliki alipomuuzia Kenya Airways.
Ambapo walifanikiwa. Hakuna ndege iliyokuwa Ina cancel flights kama PrecisionNa Kenya airways lengo lake ilikuwa kuiua presicion
Hakuna jiwe litabakia bila kugeuzwa.
Ukiona mambo yako yanakua magumu awamu hii jua kabisa ulikua mpiga dili[emoji23]
Soma vizuri post yanguKila biashara ikifa eti ilikua wapiga dili...
Aisee acheni umang'aaa!
Bandubandu huisha gogo!
Siku mnashangaa uchumi wote unaanguka ndio mtastuka anae wadanganya na "wapiga dili" alikua anawapotezea muda maana anajua hamjui kufikiri!
Punguani kabisa!
Nimejibu comment yako mzee kama ilivyo..Soma vizuri post yangu
Uache mihemuko
Bado huelewiNimejibu comment yako mzee kama ilivyo..
Umesema ukiona mambo yako yanakua mabaya awamu hii eti ujue ulikua mpiga dili..
Such a nonsensical way of thinking..
Mpaka uchumi wote uanguke ndio mtaamini ahaa kumbe hii sababu eti walikua wapiga dili ilikua ni wrong assumption..
Endeleeni kujidanganya tu....
Biashara zinakufa kweli,seriously!
Halafu mwenye mihemuko ni mama yako mzazi...mbuzi mee wewe!
Wewe ndio mstaarabu kuita watu wana "Mihemuko"?Wewe sio mtu msitaarab mpaka dakika hii.
Unaamka asubuhi na kuanza kubatiza watu majina eti "mihemuko"Habari za mama yangu na baba yangu zimekujaje hapa?
Sikukuelewa umesema wewe....Narudia hukunielewa tangu ulipoanza kuni-quote post yangu ya kwanza, kama ulielewa basi ile emoji ya kucheka hukuiona na kama hukuiona maana yake hukuelewa.
Ningekua mjinga usingenijibu!Ni vema utathimini uelewa wako, jipime mwenyewe kwanza kama kweli unaelewa au unaenda kwa mihemuko.
Usipende kulaumu watu kwa sababu ya ujinga wako mwenyewe.
Usitumie kabila la watu kutukania siyo ustaarabu. Kwanza Tanzania kuwa mhutu, mtwa, mtusi, mutwale, mgogo, mhaya, mchaga, msafwa, nk; Haionyeshi kwamba wewe ni bora au siyo bora! Tumia maneno mengine. Sisi we have overgrown those kind of issues. Pia baada ya uchaguzi 2020 tutaacha kutumia vyama kama tusi-kwa mfano, kuwaita watu Machadema, maCCM, nyumbu etc. Tutakuwa tumekomaa.huyu mhutu hakuna mtanzania anapenda anufaike..
madaraja na madege is just 'political legacy'
anatunyang'anya hela zetu za chakula anazipeleka kwenye mawe na mabati akiwa na uhakika hamtoingiza hata mia kwenye hilo !
Hutu are not our friends !