Fitina za ATCL? Precision Air yahamishia base yake KIA

Fitina za ATCL? Precision Air yahamishia base yake KIA

Mkuki umemgeukia binadamu sasa umekuwa mchungu, precious air wamechangia kuua shirika letu la ndege
 
Fitina zilizoiua Fast Jet sasa zimehamia kwa Precision Air. Precision Air wamepata vikwazo vingi pale uwanja wa Mwl. Julius Nyerere na kuamua kuhamishia Base ya KIA.
Ni maamuzi ya kibiashara. Tusitengeneze milima toka kwenye vichuguu
 
What goes around comes around. Tusisahau kwamba ni hao hao Precision ndiyo waliochangia kuua ATCL mpaka wakafikia hatua ya kujimilikisha karakana za ATCL hapo Mwalimu Nyerere International Airport. Mkuki kwa nguruwe................................
Labda utuambie Huo utafiti wako mpya wa jinsi gani Precision Air iliiua ATCL maaana hata mkuu wa nchi huwa atuambia ATC iliuawa na watendaji wa Hilo shirika pamoja na hujuma ndani ya shirika
Sasa kulingana na hili Walisema... .je Precision Air ndio walio uza ndege za ATC? Je wao ndio waliingia mkataba mbovu wa ubia kati ya South African Airlines na ATC ulio zaa ATCL?
Precision Air wahusikaje na ATCL kabla ya MAGUFULI kubakia na ndege moja ndogo Kati ya nyingi na kubwa walizomiliki awali?
 
Fitina zilizoiua Fast Jet sasa zimehamia kwa Precision Air. Precision Air wamepata vikwazo vingi pale uwanja wa Mwl. Julius Nyerere na kuamua kuhamishia Base ya KIA.
Vikwazo gani? Sema hawana ndege za maana kama ATCL full stop!
 
Fitina zilizoiua Fast Jet sasa zimehamia kwa Precision Air. Precision Air wamepata vikwazo vingi pale uwanja wa Mwl. Julius Nyerere na kuamua kuhamishia Base ya KIA.
PW hawahamish base, ila wazirudisha base ambazo walikuanazo tangu awali ila zilifungwa, kwaiyo wameanza na ya kirimanjaro bado zingine mbili nahisi baadae nazo zitarudi. Inamaana watakua wanaweza wakatokea KIA kuanzia asubui kamailivyo DSM maanayake shughulizao zina anza kutanuka kama ilivyokua miaka kadhaa iliyo pita. Kibiashara tunasema mambo yanakwenda vizuri kwasasa.
 
Nilipanda Precision toka Dodoma - KIA - Dar, nilifurahia huduma zao na utulivu wa ndege zao, nikilinganisha na bombadia ua ATCL niliyoipanda Dar - Dodoma.

Litakuwa pigo kubwa la kiuchumi kwa Watanzania, kama tutaruhusu aue Precision baada ya kufanikiwa kuua Fastjet.
 
Inasikitisha sana...

Hiyo ni sawa na kuzuia daladala alafu mwendo kasi hakuna inachofanya...


Cc: mahondaw
 
Ukiona habari kama hizi jua precision anakufa na anaanza kutafuta sababu. Vikwazo vipi kupata? Ebu tipe taarifa zaidi tuone. Precidion hana hali nzuri na anasakamwa na madeni makubwa sana. Fastjet alinyimwa pesa na wamilki wake na kuanza kulalama kabla hata ya ATCL hajarudi lakini PR wao akafanya usanii huku Masha akitumika bila kujuakatika kampeni hiyo.
Fitina zilizoiua Fast Jet sasa zimehamia kwa Precision Air. Precision Air wamepata vikwazo vingi pale uwanja wa Mwl. Julius Nyerere na kuamua kuhamishia Base ya KIA.
[/QUO
 
Acha uongo na kampeni za kitoto. ATR hata siku moja haiwezi IKEA na performancekama Q400.

Nilipanda Precision toka Dodoma - KIA - Dar, nilifurahia huduma zao na utulivu wa ndege zao, nikilinganisha na bombadia ua ATCL niliyoipanda Dar - Dodoma.

Litakuwa pigo kubwa la kiuchumi kwa Watanzania, kama tutaruhusu aue Precision baada ya kufanikiwa kuua Fastjet.
 
Hakuna jiwe litabakia bila kugeuzwa.
Ukiona mambo yako yanakua magumu awamu hii jua kabisa ulikua mpiga dili
emoji23.png
Ukiona wewe Ni mfanyabiashara Na ukaanzainaanzkugombana Na mfanyabiashara aliye Kiran yako
Bado huelewi
Utasoma tena utarudia tena kama hauko makini bado hutaelewa.
Mwisho wa siku utakuja kuni-attack kwa mihemuko.
Rudi usome tena
Ukiona wewe Ni mfanyabiashara Na ukaanza kugombana naye kisa nimshindani ujue wewe unahatari ya kufanya vibaya kwenye biashara yako. Kwani utaishia kusema hufanyi vizuri Kwa sababu ya jirani yako.nahuo ndio mwanzo wa kushindwa kwani.
Shughulika na matatizo yako mkuu acha stress.

We endelea kupambana na life tu hakuna namna.

Kama hali yako imekua ngumu basi zamani ulikua mpiga dili[emoji23][emoji23]
 
Fitina zilizoiua Fast Jet sasa zimehamia kwa Precision Air. Precision Air wamepata vikwazo vingi pale uwanja wa Mwl. Julius Nyerere na kuamua kuhamishia Base ya KIA.
mambo ya socialism yaliishinda akili kubwa Mwalimu Nyerere, seuze hawa lawless embeciles?
 
Kilicho waua Fastjet ni Madeni, kuanzia walipokua wana kodi ndege ili waendeshe shughuli za usafirishaji Nchini, Madeni makubwa kwa watoa huduma wa ndani, Mfano walio kua wakitoa huduma za vipur, Mafuta,Chakula n.k .
Sasa ukisema Precision wanahama sababu ya hujuma ebu fafanua hujuma kama zip? Je! kuhamishia base yao uko wanapo ipeleka kuna fanyavip wasihujumiwe? Isije ikawa una andika vitu ambavyo havipo.
Watu wengi humu mkuu ni mbumbumbu. Wana taarifa kidogo ya jambo wanaongezea uwongo.
 
Miaka kadhaa nyuma wakati nafanya kazi moja ya mashirika haya tulifanya utafiti rasmi kabisa kujua ni watu wa aina gani hasa wanasafiri kwa ndege kila mara? Jibu tukapata kama ifuatavyo Wafanyakazi wa Serikali (na hasa wafanyakazi wa wizara ya afya, wizara ya Kilimo, misitu na nyenginezo za serikali 75%, wafanyabiashara wakubwa na wa size ya kati 20%, watu wa kawaida, misiba, wagonjwa na wasindikizaji, maharusi, wanafunzi 5%) Attempt yoyote inayofanywa ya kuwakataza wafanyakazi wasitumie mashirika mengine ya ndege zaidi ya ATCL ni msiba mkubwa kwa ashirika hayo. Najua zipo travel agencies posta ambao wanadili na wafanyakazi kwenye wizara husika na first choice always ni PW kwa maana ndio wanatoa commission kubwa, wakati mwengine kwa kupitia mlango wa nyuma. Nawashauri PW wafanye yafatayo haraka sana kabla ya maji hayajazidi unga
1 Wapunguze bei kwa safari zao na wahakikishe ndege haikai angani zaidi ya 3hrs kwa safari ya mbali zaidi
2. Haraka sana waondoe na wasiruhusu mawakala kuuza tiketi na badala yake iwe ni wao wenyewemoja kwa moja (direct booking)
3. Wasitoe kabisa huduma ya vyakula (labda korosho na maji/juice/yogat) kwa safari zao zote
4. Safari zote ziwe na daraja mbili tu (economy ama Business) kusiwe na class baina yake economy y class economy b class)
5. Waondoe upangaji wa viti (iwe anaekuja mwanzo ndio anaehudumiwa) first come first served
6. Kitu kizuri PW wapo na hanger yao sas waangalie uwezekano wa kupata spare kwa bei nzur na wapunguze cost za training
7. Waachane kabisa na kutumia neno hub na badala yake watumie neno point to point. Wanapofanya KIA kuwa hub yao ni sawa na kuhamisha Serikali toka dar kwenda Dodoma (gharama ya kuhama ni kubwa sana)
8.Wapunguze idadi ya wafanyakazi na wahakikishe waliopo wanafurahia kazi yao kwa kuwapa mishahara na incentives nzuri
Umetisha sana mazeee ushauri wako ni mzuri sana
 
Precision akifuata ushauri huu anakufa siku hiyo hiyo.Huyu mheshimiwa anazungumzia miaka ya sabini sio soko la sasa. Yaani arudishe ndege ambazo hajamaliza mkopo kiwandani kufanya reconfiguration! Afunguwe sales point zake Tanzania nzima!!! Bado ni ngumu kwake kushindana na ATCL kama alivyofanyiwa na fastjet. Wafanyakazi wa serikali watatumia ATCL siku zote. Nenda Kenya, South Africa na kwingineko.

Umetisha sana mazeee ushauri wako ni mzuri sana
 
Back
Top Bottom