i think u understand, u can proceed with other discussion, on my side nilitaka kukuweka sawa kuhusu kutokuelewa waraka wangu kama hujaelewa itakuwa tatizo jingine
Got you Sir!

Habari Wakuu?
Bado kuna utata uliojificha kuhusu nani aliruhusu kupitishwa/kusainiwa Mkataba mbovu wa Kampuni ya Kuzalisha umeme ya Richmond.
Kitendawili hiki tulitegemea kuwa kitateguliwa msimu huu wa kueleka Uchaguzi Mkuu 25-Oct-2015 hasa baada ya Lowassa kuihama CCM na kupewa ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chadema/UKAWA.
Mpaka sasa haijafahamika ni nani alikuwa Mmiliki halali wa hii Kampuni kwa kutajwa jina bali imebakia kuwa mafumbo, mmoja akisema Mamlaka ya juu ndiyo yaliyoruhusu na mwingine akisema ni yule anayeongozana na Lissu kwenye Mikutano ya Kampeini huku wote wakikwepa kutaja majina.
Swali la kujiuliza, je,
1. Hawa watu wanajuana na wameamua kulindana?
2. Walishirikiana kwenye huu ufisadi?
Kwa ushahidi gani?
Fisadi kuu la richmond ametajwa na akakaa kimya
utata uko wapi wakati fisadi papa ni Lowasa kila mtu anajua bayana kuwa Lowasa ndiyo mwamba wa ufisadi.
Natamani hizi nondo zako mkuu ukawa wangezitumia tare 22oct tuwamalize kabisa wafunge midomo, ni maswali ya msingi sana unapojadili kuhusu richmond, Ukawa tumieni hii nondo tar22octb tukachukue ikulu kirahisi....
Habari Wakuu?
Bado kuna utata uliojificha kuhusu nani aliruhusu kupitishwa/kusainiwa Mkataba mbovu wa Kampuni ya Kuzalisha umeme ya Richmond.
Kitendawili hiki tulitegemea kuwa kitateguliwa msimu huu wa kueleka Uchaguzi Mkuu 25-Oct-2015 hasa baada ya Lowassa kuihama CCM na kupewa ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chadema/UKAWA.
Mpaka sasa haijafahamika ni nani alikuwa Mmiliki halali wa hii Kampuni kwa kutajwa jina bali imebakia kuwa mafumbo, mmoja akisema Mamlaka ya juu ndiyo yaliyoruhusu na mwingine akisema ni yule anayeongozana na Lissu kwenye Mikutano ya Kampeini huku wote wakikwepa kutaja majina.
Swali la kujiuliza, je,
1. Hawa watu wanajuana na wameamua kulindana?
2. Walishirikiana kwenye huu ufisadi?
DR JAKAYA Mbona alishamaliza hili ... alisema mwenye richmond mbona tundu lisu anatembea naye
ripoti ya mwakyembe haijamtaja fisadi wa richmondRipoti y Mwakyembe.
Habari Wakuu?
Bado kuna utata uliojificha kuhusu nani aliruhusu kupitishwa/kusainiwa Mkataba mbovu wa Kampuni ya Kuzalisha umeme ya Richmond.
Kitendawili hiki tulitegemea kuwa kitateguliwa msimu huu wa kueleka Uchaguzi Mkuu 25-Oct-2015 hasa baada ya Lowassa kuihama CCM na kupewa ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chadema/UKAWA.
Mpaka sasa haijafahamika ni nani alikuwa Mmiliki halali wa hii Kampuni kwa kutajwa jina bali imebakia kuwa mafumbo, mmoja akisema Mamlaka ya juu ndiyo yaliyoruhusu na mwingine akisema ni yule anayeongozana na Lissu kwenye Mikutano ya Kampeini huku wote wakikwepa kutaja majina.
Swali la kujiuliza, je,
1. Hawa watu wanajuana na wameamua kulindana?
2. Walishirikiana kwenye huu ufisadi?
ripoti ya mwakyembe haijamtaja fisadi wa richmond
huyu mwakyembe ametuangusha sana kwa kushindwa kuja na kazi critical
maelezo ya kina ni kumtaja na siku alipokaribishwa na kutambulishwa kwa waandishi wa habari alimtaja, aliyetajwa mpaka leo hajakanaHivi kuna siku Lowasa ametoa maelezo ya kina kuhusu richmond zaidi sana Sumaye ndio anamsafisha kana kwamba mwenyewe kafa! asimame atuonyeshe hayo maelekezo aliyopata toka juu aache usanii wa kudekiwa barabara. Lowasa ni ukoo wa panya.
maelezo ya kina ni kumtaja na siku alipokaribishwa na kutambulishwa kwa waandishi wa habari alimtaja, aliyetajwa mpaka leo hajakana