Fisadi Mkuu wa Richmond yuko CHADEMA au yuko CCM?

Hivi kuna watu mpaka sasa wanaamini Lowassa ni fisadi na si serikali ya ccm iliyo fisadi.
hebu jaribu kupata majibu ya maswali haya alafu utafakari na ufanye uamuzi sahihi.
1. Lowassa alitaka kuvunja mkataba wa richmond Rais akamzuia, je kwanini?
2. kamati ya mwakyembe ilisema waziri mkuu ajiuzuru ili serikali isianguke, kikatiba waziri mkuu anapo jiuzuru lazima serikali (mawaziri) wafutwe na rais aunde baraza jipya. je ni serikali ipi alimaanisha isivunjike baada ya Lowasa kujiuzuru?
3. baada ya Lowasa kujiuzuru Richmond iliendelea kulipwa, je kama richmond ilikuwa ya LOwassa kwanini serikali haikusitisha malipo baada ya lowassa kujiuzuru?
4. kama serikali iliendelea kufanya malipo, je ni nani alikuwa analipwa kama siyo namna ya serikali kuhalalisha pesa kwenda mfuko wa ccm?
5. kama richmond ilikuwa ya lowasa kwanini baada ya kujiuzuru richmond ilibadilika ikawa Dowans, baadae ikaitwa symbion, na baadae IPTL.
6. kama richmond ilikuwa ya Lowassa, alipo kuwa tayali amejiuzuru nani alikuwa akiuza hiyo mitambo na kuibadilisha majina.
7. kama richmond ilikuwa ya Lowassa, kwanini rais wa marekani alipo kuja nchini hakuonekana akiwa na Lowassa kujadili iliyo kuwa mjukuu wa richmond yaani IPTL na badala yake akaonekana akiwa na mtu mwingine mkubwa tu katika serikali ya ccm?
8. kama Richmond aliyo bandikiwa lowasa ilikuwa tatizo mbona mtoto na mjukuu IPTL ikazaa ESCROW na hakuna hatua ya kisheria iliyo chukuliwa dhidi ya walio nufaika na mgao wa escrow bali kusafishana kisiasa.
9. kama Lowasa alikuwa mhusika wa richmond, kwanini hakuonekana katika mgao wa escrow huku ikiwa escrow imezaliwa na richmond iliyo zaa dowans, symbion na IPTL?
10. Kwanini serikali ya ccm imeshindwa kumshitaki Lowassa mahakamani angalau ionekane ameshinda kesi, lakini serikali ya ccm inaonekana maeneo kadha wa kadha ikisema lowassa ni fisadi je serikali tunayoitaka ni hii ya ccm inayo walinda wezi na kuliingiza taifa katika hasara kubwa?
11. je baada ya Lowassa kujiuzuru kwanini kashfa za rushwa zimeendelea kulikumba taifa kama, kuibiwa kwa meno ya tembo, mikataba mibovu ya gesi, miswada inayopita kwa dharura, ununuzi wa mabehewa feki, uagizaji wa magari ya kifahali, ziara za hovyo za viongozi, mbio za mwenge zinazolighalimu taifa pesa nyingi, ununuzi wa meli na vivuko vibovu, ufisadi wa Bil 951.7 wizara ya ujenzi (wakandarasi hewa) tena hizi ni namna ya kupitisha pesa kwenda mfuko wa chama alafu tunaambiwa ni ileile, mtaisoma, niwalewale hatuelewi hata kidogo eti. kama ni hivi watanzania tunatakiwa kupimwa akili.

sambaza haya maswali kwa wote unaowajua ili tupate majibu sahihi kabla ya 25 octoba.
 
Mmiliki wa Richmond in Kikwete na kwa sasa ndio mwenyekiti wa CCM na rais Wa Tz.

Nakubaliana na wewe moja kwa moja, na kwa kuongezea mpiga dili mkubwa wa pale Tanesco ni Rais Kikwete. Miaka ya nyuma alisaini mkataba wa IPTL na miakataba kadhaa ya madini akiwa ni Waziri wa Nishati na madini enzi hizo. Baadaye akasaini tena mkataba wa IPTL akiwa ni Waziri wa Fedha. Wakati scandal ya escrow inaunguruma imemkuta akiwa ni rais wa nchi. Akatumia urais wake kuaminisha watu kuwa pesa zile hazikuwa za serikali. Huyu ndiye Kikwete bwana, ni kinyonga. Anaweza kukuua huku anatabasamu. Unaona alivyomtosa rafiki wa siku nyingi Lowassa?
 
Lete na wa escrow.mtahangaika sana,tunahesabu wiki ccm mshike adabu
 
jamaa wanajichanganya humu mpaka basi,,,richmond haina uhusiano na IPTL wala escrow scandal.
richmond iliuzwa kwa dowans nayo ikauzwa kwa symbioni,,actually hiyo mitambo ni mizuri sana na waliyoileta wanastahili pongezi..

kinachogomba kuhusu Richmond ni process iliyotumika kuileta mitambo,kwani zilitumika njia za kimkato,na lowasa anajitetea kwa mara ya kwanza kuwa alichofanya yeye ni ALICHUKUA MAAMUZI MAGUMU,kwani hali ya umeme ilikua tete....

kama mkataba wa ile mitambo hauna tofauti na mitambo mingine ya sasa kama IPTL au symbion,sioni kwanini watu wameishupalia richmond wakati hata haikufanya uzalishaji,bali waliuza kwa dowans ambayo ndo ilizalisha umeme na ukatumika......
baada ya kuzalisha umeme na kuanza kumshupalia kutolipwa,mwenye dowans alikua tayari kutuuzia mtambo angalau arudishe pesa zake alizo invest,tukasema hatuna shida na mitambo ya chakavu....
mwarabu wa watu akaona isiwe tabu,akawauzia akina baraka obama na hillaly clinton mtambo huo ambao sasa unaitwa SYMBION,,,,
sasa cha kujiuliza kwanini ushupalie richmond ambayo haipo na haikuwahi kuzalisha umeme na uiache symbion ambayo bado inazalisha umeme kwa mitambo ileile na kulipwa kwa style ileile?...
 
lowasa aliwajibika kuhusu richmond wala mtu huwa haadhibiwa mara mbili,alijiuzulu,,,kwasababu ya hiyo irregularity katika kuwapa RICHMOND tenda,,,,kumbuka RICHMOND haikuwahi hata kuzalisha umeme,walipoona mzigo ni mzito waliuza mitambo kwa dowans,wao wakapotea.sasa haijarishi hata kama ilikua kampuni ya vichochoroni,kama ilileta mtambo,na baadae wakaona itawawia vigumu wao kuzalisha umeme,wakauza kwa DOWANS.
sioni sasa kwanini watu washupalie RICHMOND ,kwani lowasa alishawajibika tayari,wala hakuna kesi itasimama mahakamani kuhusu richmond ikafanikiwa,,,kwani lowasa aliwajibiki wala hawezi kuhukumiwa kwa mara ya pili kwa kosa lilelile.
 
Jibu raisi sana,wala huitaji kufikiri,ata mtoto wa la pili anajua,hata mama ntilie na boda boda wanajua,NI LOWASA ambaye yupo Chadema
Kama ni LOWASA basi hatuna serikali....Mungu katusaidia sana kujiendesha bila serikali! Fisadi anajulika, kaliingiza taifa katika mgogoro, raisi wa nchi aendelee kucheka? Basi hapa hatuna serikali yaani ni ZERO!!!
 
Umenena.kama ni kweli lowasa fisadi ,hatuna serikali.
 
Kama ni LOWASA basi hatuna serikali....Mungu katusaidia sana kujiendesha bila serikali! Fisadi anajulika, kaliingiza taifa katika mgogoro, raisi wa nchi aendelee kucheka? Basi hapa hatuna serikali yaani ni ZERO!!!

migogoro tumejiingiza wenyewe kwa kujitia ujuaji mwingi....na kuligeuza suala liwe la kisiasA .
haikuwepo sababu ya msingi ya kuikataa kuinunua mitambo ya Dowans,pale yule mwarabu aliposema ,isiwe tabu atatuuzia mtambo na kiasi cha dei analodai kwa kuzalisha umreme atalipunguza,,,tukajitia ujuaji eti mitambo haifai imeaoza,mwarabu akadai pesa zake za kuzalisha umeme,hatutaki kumpa,kaenda mahakani katushinda,kauza mtambo kwa mtu mwingine na mitambo hiyo ndo bado ipo na bado inapiga kazi na tunalipa tena kwa bei juu kuliko hata Dowanz
 
Hivi kuna watu mpaka sasa wanaamini Lowassa ni fisadi na si serikali ya ccm iliyo fisadi.
hebu jaribu kupata majibu ya maswali haya alafu utafakari na ufanye uamuzi sahihi.
1. Lowassa alitaka kuvunja mkataba wa richmond Rais akamzuia, je kwanini?
2. kamati ya mwakyembe ilisema waziri mkuu ajiuzuru ili serikali isianguke, kikatiba waziri mkuu anapo jiuzuru lazima serikali (mawaziri) wafutwe na rais aunde baraza jipya. je ni serikali ipi alimaanisha isivunjike baada ya Lowasa kujiuzuru?
3. baada ya Lowasa kujiuzuru Richmond iliendelea kulipwa, je kama richmond ilikuwa ya LOwassa kwanini serikali haikusitisha malipo baada ya lowassa kujiuzuru?
4. kama serikali iliendelea kufanya malipo, je ni nani alikuwa analipwa kama siyo namna ya serikali kuhalalisha pesa kwenda mfuko wa ccm?
5. kama richmond ilikuwa ya lowasa kwanini baada ya kujiuzuru richmond ilibadilika ikawa Dowans, baadae ikaitwa symbion, na baadae IPTL.
6. kama richmond ilikuwa ya Lowassa, alipo kuwa tayali amejiuzuru nani alikuwa akiuza hiyo mitambo na kuibadilisha majina.
7. kama richmond ilikuwa ya Lowassa, kwanini rais wa marekani alipo kuja nchini hakuonekana akiwa na Lowassa kujadili iliyo kuwa mjukuu wa richmond yaani IPTL na badala yake akaonekana akiwa na mtu mwingine mkubwa tu katika serikali ya ccm?
8. kama Richmond aliyo bandikiwa lowasa ilikuwa tatizo mbona mtoto na mjukuu IPTL ikazaa ESCROW na hakuna hatua ya kisheria iliyo chukuliwa dhidi ya walio nufaika na mgao wa escrow bali kusafishana kisiasa.
9. kama Lowasa alikuwa mhusika wa richmond, kwanini hakuonekana katika mgao wa escrow huku ikiwa escrow imezaliwa na richmond iliyo zaa dowans, symbion na IPTL?
10. Kwanini serikali ya ccm imeshindwa kumshitaki Lowassa mahakamani angalau ionekane ameshinda kesi, lakini serikali ya ccm inaonekana maeneo kadha wa kadha ikisema lowassa ni fisadi je serikali tunayoitaka ni hii ya ccm inayo walinda wezi na kuliingiza taifa katika hasara kubwa?
11. je baada ya Lowassa kujiuzuru kwanini kashfa za rushwa zimeendelea kulikumba taifa kama, kuibiwa kwa meno ya tembo, mikataba mibovu ya gesi, miswada inayopita kwa dharura, ununuzi wa mabehewa feki, uagizaji wa magari ya kifahali, ziara za hovyo za viongozi, mbio za mwenge zinazolighalimu taifa pesa nyingi, ununuzi wa meli na vivuko vibovu, ufisadi wa Bil 951.7 wizara ya ujenzi (wakandarasi hewa) tena hizi ni namna ya kupitisha pesa kwenda mfuko wa chama alafu tunaambiwa ni ileile, mtaisoma, niwalewale hatuelewi hata kidogo eti. kama ni hivi watanzania tunatakiwa kupimwa akili.

sambaza haya maswali kwa wote unaowajua ili tupate majibu sahihi kabla ya 25 octoba.
Natamani hizi nondo zako mkuu ukawa wangezitumia tare 22oct tuwamalize kabisa wafunge midomo, ni maswali ya msingi sana unapojadili kuhusu richmond, Ukawa tumieni hii nondo tar22octb tukachukue ikulu kirahisi....
 
migogoro tumejiingiza wenyewe kwa kujitia ujuaji mwingi....na kuligeuza suala liwe la kisiasA .
haikuwepo sababu ya msingi ya kuikataa kuinunua mitambo ya Dowans,pale yule mwarabu aliposema ,isiwe tabu atatuuzia mtambo na kiasi cha dei analodai kwa kuzalisha umreme atalipunguza,,,tukajitia ujuaji eti mitambo haifai imeaoza,mwarabu akadai pesa zake za kuzalisha umeme,hatutaki kumpa,kaenda mahakani katushinda,kauza mtambo kwa mtu mwingine na mitambo hiyo ndo bado ipo na bado inapiga kazi na tunalipa tena kwa bei juu kuliko hata Dowanz

Halafu tudanganywe ni LOWASA!!!! Ujuaji mwingi kila kona na watanzania hatutaki kuangalia facts tumekalia ushabiki.
 
soma vizuri uelewe wachakukurupuka

Nakurupuka nini sasa! Tibaijuka tunajua mlungula wa escrow ni 1.6 billion kama chenge, sasa nauliza ngapi za Lowassa Richmond alizomeza? If you can't quantify you have no object and no evidence
 
Ndio mana nakuuliza umzima? na je kabla yaku reply huwa unasoma vizuri au unakurupuka? nakushauri tena rudia kusoma nilicho andika kabla hujajibu tena
 
Sasa ufisadi wake uko wapi hapo? Jopo lilikaa chini yake na kuamua kitaalamu, sasa lowassa sio fundi mitambo, kama mitambo ni mibovu anaharifiwa na wataalam wa serikali, lakini maamuzi ni Jopo. Kwa kuwa yeye alishika ofisi akaresign kwa kubeba responsibility ya team nzima, kama alivyofanya muhongo na kama alivyokusudia kufanya warioba huko nyuma. Personally sioni benefits kwake hata moja, sasa nauliza wewe unajua alimegewa sh ngapi?
 
ngoja nikusaidie mana naona umvivu wakusoma, mimi nilimjibu mtoa hoja, kuwa muhusika wa Richmond sio lowasa mana kama niyeye na hayupo ktk system kwamuda mrefu sasa angekwisha fikishwa mahakamani, nikaongezea kwa kutajwa tajwa kwa mkuu nayeye kutokuchukua hatua dhidi ya wahusika inaashiria mkono wake ktk kashfa hii. Nadhani sijui unaelewa elewa au bado, ujue usipende mtu aende direct, hapa panapita watu wengi na hata hao wahusika pia
 
lowasa aliwajibika kuhusu richmond wala mtu huwa haadhibiwa mara mbili,alijiuzulu,,,kwasababu ya hiyo irregularity katika kuwapa RICHMOND tenda,,,,kumbuka RICHMOND haikuwahi hata kuzalisha umeme,walipoona mzigo ni mzito waliuza mitambo kwa dowans,wao wakapotea.sasa haijarishi hata kama ilikua kampuni ya vichochoroni,kama ilileta mtambo,na baadae wakaona itawawia vigumu wao kuzalisha umeme,wakauza kwa DOWANS.
sioni sasa kwanini watu washupalie RICHMOND ,kwani lowasa alishawajibika tayari,wala hakuna kesi itasimama mahakamani kuhusu richmond ikafanikiwa,,,kwani lowasa aliwajibiki wala hawezi kuhukumiwa kwa mara ya pili kwa kosa lilelile.
Mkuu Elungata, binafsi nakuelewa unachomaanisha ila tatizo linakuja pale wapinzani wa Lowassa wanapotumia hii kashifa ya Ufisadi wa RICHMOND kuwaaminisha watu kuwa Muhusika Mkuu na aliyeliingizia Taifa hasara ya mabilioni ya pesa ni Lowssa.

Kwa ujumla WanaCCM ndiyo wanaolishupalia hili jambo.
Inamaana huu ukweli hawaujui au wameamua kuwa waongo?
 
Last edited by a moderator:
ngoja nikusaidie mana naona umvivu wakusoma, mimi nilimjibu mtoa hoja, kuwa muhusika wa Richmond sio lowasa mana kama niyeye na hayupo ktk system kwamuda mrefu sasa angekwisha fikishwa mahakamani, nikaongezea kwa kutajwa tajwa kwa mkuu nayeye kutokuchukua hatua dhidi ya wahusika inaashiria mkono wake ktk kashfa hii. Nadhani sijui unaelewa elewa au bado, ujue usipende mtu aende direct, hapa panapita watu wengi na hata hao wahusika pia

Jamii forums is for thinking and observing arguments, what we discuss is already in the air, as much is true and public, why not educate direct, is not a secret society. So these are questions we ponder, bcos they are necessary on whether to elect Lowasa or not
 
i think u understand, u can proceed with other discussion, on my side nilitaka kukuweka sawa kuhusu kutokuelewa waraka wangu kama hujaelewa itakuwa tatizo jingine
 
Back
Top Bottom