firstlady wa Tanzania hasikiki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

firstlady wa Tanzania hasikiki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpenyo, Jan 10, 2011.

 1. m

  mpenyo Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Mama jk yupo wapi,tangu tumsikie kwenye matumizi ya fedha na mali za serikali wakati wa kampeni sijamsikia tena au ameenda kupumzika ulaya?
   
 2. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Alimwambia JK baada ya kushindwa uchaguzi aachie ngazi akakataa, hivyo nafsi yake haitaki kushirikishwa na rais mwizi. Hamtamwona ng'o!
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Shopping Paris
   
 4. H

  Hegelyakoni Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  alichokitaka ameshakipata,apige kelele ya nini? piga wewe uliyeibiwa kura.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Anaondoa stress za uchaguzi na kufurahia ushindi!
   
 6. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  aseme nini ?
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Jan 10, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Anatafakari kwa nini chama alichokipigia debe kinazidi kuelekea kaburini siku hadi siku!
   
 8. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #8
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  [​IMG]
   
 9. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Mambo yakitulia mtamuona,haya yaliyomshinda mumewe na ile kushindwa uchaguzi yanamyima nguvu ya kutoka....
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Hashycool mzee wa picha............LOL,thanks nimefurahi kumuona,i missed her.
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  baba akiwa anaenda hospitali (ulaya na amerika) huzuga anakwenda kikazi.

  mama akiwa anakwenda hospitali (ulaya na amerika) husepa kimya-kimya.
   
 12. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #12
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Si mlimnyamazisha wakati wa kampeni, ni msikivu, kanyamaza.
   
 13. k

  kayumba JF-Expert Member

  #13
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kampeni imeisha, sasa ni muda wa kula bata!

  Wakati wa kula bata huwa hatupigi kelele kwasababu wachawi wengi!

   
 14. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #14
  Jan 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kaenda kubadilisha damu, na yeye mgonjwa tu kama mkwere
   
 15. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #15
  Jan 10, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Alishapata alichokuwa anatafuta sasa shida ya nini? Kama kuiba walishaiba sasa je?
   
 16. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #16
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  maandalizi ya life bila ikulu!
   
 17. kagumyamuheto

  kagumyamuheto JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nilimsikia akilia kama mbwa pale kwenye maandamano arusha baada ya polisi kumpa kisago mpaka akavia damu! au siye huyo? nilikuwa nimejilaza na kausingizi kakanipitia kidogo. Au mnamaanisha First lady wa kuazima??
   
 18. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 3,182
  Trophy Points: 280
  Miguu iliota sugu anajaribu kuipoza kidogo wajameni safari za kampeni zilikuwa nyingi na koo nalo linahitaji marekebisho kidogo maana aligeuka kuwa speaker wa chama cha majambazi kila kona ya nchi. Atarejea muda si mrefu NGO imeshaishiwa sasa lazima aanze na kuhamasisha wamama wababa oops!!! sorry wanawake na watoto nilikosea kidogo kusema akina baba ninyi fungu lenu analo mkulu teh teh hiyo ndio bongoland. Akili mukichwa.
   
 19. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mwache ale kuku, ungwe ya mwisho hii?????
   
 20. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Anajirembua jamani, ili atakapotoka out iwe barabara.
   
Loading...