First year washaanza kukinukisha mitandaoni

First year washaanza kukinukisha mitandaoni

BJB FC

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
2,169
Reaction score
2,487

20191023_085701.jpeg
 
Sasa mzee si umuache afurahie na kumshukuru mungu wake usikute ndo wewe huyu umekuja kutuletea porojo hapa
 
Acha afurahie, mana msoto wa A-Level sio wa Kitoto!

Afu hiyo picha ya kushoto imepigwa Rungwe Boys.

Nilisoma na kuhitimu A-Level hapo!
 
Ni sawa kushukuru kwa kila jambo. Huwezi jua kapitia mangapi hadi kuupata huo mkopo
 
Kufurahia ni Jambo zuri,wewe ulitaka akose ili aje kulalamika huku kwamba kakosa mkopo,then uanze kumfariji
 
Mbona sijanusa hiyo harufu kwenye huu uzi...!!??
 
Back
Top Bottom