super black Boy
Senior Member
- Oct 15, 2019
- 135
- 169
daaah!! hata mm ningefanya kama hivyo sema tu enzi naingia first year Facebook ilishanitoka katika akili yangu kama sehemu ya burudani!! By the way kupata BOOM raha jaman halafu usiwazie maswala ya kurejesha mkopo maana ajira zenyewe za kugombania kama daladala za mbagala!! cha msingi ukipata we tumia kadri uwezavyo maana ndo mshahara wako wa mateso kutoka vidudu mpaka form 6!! mtakao pata furahini kadri muwezavyo maana kuna watu wanawatamania!!

naona kaja ki programmer zaidi!