Hiyo hela mshukuru Mungu .
Hiyo hela ndo meenda nayo jana FIESTA,mmenda nayo CINEMAX,mmeenda nayo gesti kusugulia mademu.
Meenda nayo kupigia mtungo hapo hall six,Mungu anakuona.
Maisha yako yote jana ndio umeanza kunywa HEINEKEN ,na dem Ukamnywesha AMARULA,kuonyesha wewe ni kidume wakati hela za mkopo,hela wamekatwa wamama wanaofagia barabara ,waosha maiti,polisi wanaokwsha barabarani,eeh hamna huruma,Asaivi mpo na huyo mwanamke BREAK POINT mnazimua supu ya SWALA alafu mnaenda GESTI hapo Sinza kumalizia shetani alichowaanxishia jana,eeh Mola kwa wanaotufanyia hivi nina maombi machache kama ifuatavyo:-
1:-Wanafunzi wote walitumia hela ya mkopo kuzinia/sex ,kupigia dem wapate supp first semister,wapate carry forwaed, na semister ya pili wa discontinue.
2:-Waliosex huku wamepata mkopo 100% washike mimba,washindwe kuendelea na masomo,Mwanaume amkimbie na kwao afukizwd maana mahahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni uzima wa milele.
3:-Wapate UKIMWI na magonjwa mengineyo ili iwe funzo.
4:- Wakute vyumbani mwai wameibiwa Laptop zao,simu na hela waliokuwa wameficha chini kabisa mwa begi.
5.:-Watakao nusurika kabisa basi mwaka wa mwisho wafeli/disco ili wajutie na wakumbuke hii siku ya fiesta,wakurudie.
6:- Hili ni ombi langu la milele waokoke na kusamehewa dhambi.,wameshindwa kuelewa FIESTA mwanzilishi wake ni Free Mason!