First Year 2020/ 2021 tukutane hapa

Ifm mwaka wa kwanza, wanaanza ln?
Mana baadhi ya vyuo wamebadiri tarehe.
 
Guys nimeamua ku create group la first year la UDSM baada ya kuomba sana bila kupewa majibu yoyote. Karibuni tusaidiane mambo mbalimbali kama vile kujaza fomu na mambo mengine.join link ipo chini hapo

 
Nimechaguliwa kujiunga rucu bachelor of law ,ila kuna swali moja je hela ya boom inakuja muda gani baada ya kufanya usajili
 
Guys mwenye link ya sua first year sie wengne ndo karibun tunaenda inshallah
 
Madogo mwaka huu Wana bahati mbaya ,bahati yao Ilikuwa Kipind wako Form Four 2018 Baada ya hapo ni tabu tubu ,Mkopo wamenyimwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…