First time nadrop Newyork city I was shocked

First time nadrop Newyork city I was shocked

Midtown Manhattan.

Jiji lina mengi sana hili.

Nilivyoingia kuna siku nilikiwa najieleza kwa Mmarekani mmoja kuwa "I am not from here". Namuona yeye Mmarekani mwenyeji.

Na yeye akaniambia "I am also not from here, I am not even from the Northeast".

Yani mimi nilivyojiona mgeni New York City natoka Tanzania, na yeye eti alikuwa anajiona mgeni katoka huko Marekani ndanindani.

Nikataka kusema lakini wewe afadhali Mmarekani, lakini nikaona dah, nipambane na hali yangu tu hatanielewa.
Ninachukulia kama umeishi huko miaka mingi.

Je unajihisi mgeni(imposter syndrome) mpaka hivi leo? Unapakumbuka nyumbani? Kuna ubaguzi wowote unapata kama mhamiaji?
 
Back
Top Bottom