mwana picnic,ni noma.Kuna videmu vingi mwana,kuwa makini
sitak kuamin ka vitu vya kuchangia vimeisha
sitak kuamin ka vitu vya kuchangia vimeisha
w/end leo mkuu....
sio Arusha-Moshi, ni ya kwanza ukitoka Ars-Nbi
seven up na 1st left ipi ilitangulia?kule ngaramtoni kuna bar ya zamani sana inaitwa texas.
shukrani sana mkuu,
hivi sasa niko chimbo flani hapa linaitwa 'The Picnic', naona kuna ghashi za ukwenga kchizi zinapiga 'tray', basi mi bia inashuka swaafi ..!
..na huwa inajaa,j3 mpka j3!live band,nyama choma na dada zetu walee....kazi kwako