First Lady yuko wapi???

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Muda huu ambapo serikali 'yao' inalalamikiwa, huyu mama hasikiki kabisa kama kile kipindi cha kampeni. Sijui nini kimemsibu!
 
First lady wa nani? Mama Sit Katuibia na waarabu, Mama Mkapa ndio bepari na mwizi kupindukia na huyu Mama Kikwete ni first lady wa nani...msitupotezee muda humu, ujinga mtupu...hii ikulu ni kama vibanda vya casino.
 
Kuwepo na kutokuwepo kwake hakuna impact yoyote kwa nchi, labda kwa mumewe!
 
Kwani mama siti na mama anna walikuwa mafesti ledies wa nani.
 
Kuna wanawake wajinga wengi tu ndani ya ccm...chama kinawarudisha wanawake wengi kila mahali...ndugu yako akioelewa na mwanachama wa ccm mumtenge. Vichaa hao...brainwash
 
Kuwepo na kutokuwepo kwake hakuna impact yoyote kwa nchi, labda kwa mumewe!
Mbona wakati wa kampeni uwepo wake ulikuwa na impact kubwa, aliweza kubadili mawazo ya watu waliomchoka mume wake na wakawa na imani naye tena. Uwepo wake unaweza kusaidia hata akamshauri mume akaachia ngazi.....lol.
 
Alikuwa First Lady kipindi cha kwanza, kipindi hichi muungwana analeta kifaa kingine...just hold on...
 
Mbona wakati wa kampeni uwepo wake ulikuwa na impact kubwa, aliweza kubadili mawazo ya watu waliomchoka mume wake na wakawa na imani naye tena. Uwepo wake unaweza kusaidia hata akamshauri mume akaachia ngazi.....lol.

Labda huko kwenu Katavi...sehemu zingine ilikuwa akipita anaangusha tisheti barabarani ili watu wavutike kwenda umsikiliza, lakini haikusaidia!
 
Kuna wanawake wajinga wengi tu ndani ya ccm...chama kinawarudisha wanawake wengi kila mahali...ndugu yako akioelewa na mwanachama wa ccm mumtenge. Vichaa hao...brainwash
Ahahahahahaaahh!! Kuna pacha wangu kaolewa na katibu wa ccm wa wilaya, nimtenge!! It is not possible......lol....
 
Back
Top Bottom