First Lady yuko wapi???

First Lady yuko wapi???

Labda huko kwenu Katavi...sehemu zingine ilikuwa akipita anaangusha tisheti barabarani ili watu wavutike kwenda umsikiliza, lakini haikusaidia!
Ni kweli lakini baadhi ya watu waliangukia katika mtego wake.
 
Kuwepo na kutokuwepo kwake hakuna impact yoyote kwa nchi, labda kwa mumewe!

PJ sijakubaliana na wewe!
Kuwepo kwake kuna impact katika bajeti zetu kama nchi, wait and see
 
Kuna watu wachokozi na hawana kaz,topic hiiinatusaidia nini?
 
hahah.....

nikajua unamuulizia firstlady wa JF

makubwa
 
Kuna watu wachokozi na hawana kaz,topic hiiinatusaidia nini?
Sio uchokozi, yeye nae ana nafasi kubwa sana katika uongozi wa nchi hii, kwani umesahau watu walipohoji sana nafasi yake rais alijibu "urais ni suala la kifamilia"??
 
Hivi kumbe hajui lugha ya kiingereza eeh?

Nyie sasa wachokozi ha ha..mathalan anajua lugha ya Taifa hilo ndio muhimu!!

Katavi omba appointment ikulu ukamsabahi huyp Mrs. Mkwere🙂))
 
Nyie sasa wachokozi ha ha..mathalan anajua lugha ya Taifa hilo ndio muhimu!!

Katavi omba appointment ikulu ukamsabahi huyp Mrs. Mkwere🙂))
Kumbe inawezekana mtu wa kawaida kuomba appointment na kutembelea ikulu? Nilikuwa sijui!!
 
Mbona wakati wa kampeni uwepo wake ulikuwa na impact kubwa, aliweza kubadili mawazo ya watu waliomchoka mume wake na wakawa na imani naye tena. Uwepo wake unaweza kusaidia hata akamshauri mume akaachia ngazi.....lol.

RAis wa NEC na TISS
 
Muda huu ambapo serikali 'yao' inalalamikiwa, huyu mama hasikiki kabisa kama kile kipindi cha kampeni. Sijui nini kimemsibu!

Uso umeumbwa na haya ndugu yangu, atathubutu kutoka atuambie nini baada ya uchakachuaji mkali.
Yuko ndani anakarangiza.
 
Hivi ile scandal ya matumizi mabaya ya mali za serikali--ambapo ilimlazimu Kinana aghushi risiti kumwokoa--imeishia wapi?
Duh..ama kweli waTz tu wasahaulifu
 
Hivi ile scandal ya matumizi mabaya ya mali za serikali--ambapo ilimlazimu Kinana aghushi risiti kumwokoa--imeishia wapi?
Duh..ama kweli waTz tu wasahaulifu
Hiyo ilishasahaulika zamani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom