First lady wa Nigeria

Kwa kweli Wanaigeria wameshinda kila kitu!!!
 
hivi huyu mzee bado ana uwezo?, maana chuma hichi si mchezo
 
Hivi hawa wake wa marais wa huko hawana WAMA ?
 
hivi huyu mzee bado ana uwezo?, maana chuma hichi si mchezo

Wazee wa kinaijeria balaaa..wanakula puturu kama mboga...yaani huyo anamnyoosha vizuri sana
 
hivi huyu mzee bado ana uwezo?, maana chuma hichi si mchezo

Huyo mzee atakuwa anakunywa sana asali iliyochanganywa na vitunguu swaumu plus mdalasini...
 
Yupo kama M-Tz vile. Hebu tefuteni zaidi ni dada yetu nini?
 
Muhammadu Buhari is the President-elect of Nigeria and a retired Major General in the Nigerian Army who was Head of State of Nigeria from 31 December 1983 to 27 August 1985, after taking power in a military coup d'état. Wikipedia

<!--n--><!--m--><!--n-->
<!--m-->Born: December 17, 1942 (age 72), Daura, Nigeria



Umejuaje ana mke mmoja? Huyo ana miaka 44 tu, na Buhari ana miaka zaidi ya 65 unataka kuniambia alichelewa kuoa namna hiyo?

Tiba
 
Huyo sifanani nae hata chembe, mimi ni mkubwa sana ki umri ukinilinganisha na huyo binti mrembo.

Uzuri wa mtu kwa Mwenyeezi Mungu ni ucha Mungu wake - Kumbuka hilo. Na mimi nna jadi ya uzuri.

Bibi yako vipi? ana jadi ya uzuri (ucha Mungu)?





Faizaaaaa nakupenda bureee my dia. Keep it up
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…