First Lady Michelle Obama & Ann Romney Question is... Who'd you rather?

First Lady Michelle Obama & Ann Romney Question is... Who'd you rather?

More respect to

michelle-obama-dnc-2012-AP-cropped-proto-custom_28.jpg
 
Mrs Obama ni zaidi. Black is beauty and she is black, therefore it goes without saying that she is beautiful. Huyu mama wa kizungu mchemsho tu!
 
Mama Obama, nywele za maiti, uzuri wa kwenye mkebe, meno ni "manjiks", Misuli utafikiri mwanamme. Kivyangu hajanivutia hata kidogo.

Mama hilo la kizungu liko natural na orijino.
 
MICHELLE OBAMA'S HAIR THROUGH THE YEARS

Michelle as a child


Michelle Obama in 1981 as a whitney young high school senior


Michelle Obama 1985


Michelle Obama 1992


Michelle Obama 2004


Michelle Obama 2005


Michelle Obama 2009


Michelle Obama 2010


Michelle Obama 2009


Michelle Obama 2010 Visiting the king of spain


Michelle Obama 2009 my favourite look!
 
kwa nywele usiseme sana kwani hata wengi wa bongo wanabandika, kama siyo mama / mkeo / binti yako lazima hilo lipo,
why unasema sana hivyo zomba mtani wangu?

Mama Obama, nywele za maiti, uzuri wa kwenye mkebe, meno ni "manjiks", Misuli utafikiri mwanamme. Kivyangu hajanivutia hata kidogo.

Mama hilo la kizungu liko natural na orijino.
 
Last edited by a moderator:
kwa nywele usiseme sana kwani hata wengi wa bongo wanabandika, kama siyo mama / mkeo / binti yako lazima hilo lipo,
why unasema sana hivyo zomba mtani wangu?

Inakera, uzuri wa makopo, mama yangu ana nywele za hariri mpaka takoni, Mungu amrehemu. Mke wangu ndio usiseme, mmoja aliwahi kushiriki mashindano ya Urembo Japan, ni Mjapani, sasa fikiri nywele zake zikoje, mmoja mmbongo lakini nywele za maiti na weupe wa makopo marufuku kutumia.

Hao dada zangu na wengi wengine wala sikatai lakini wananikera ajabu ya Mungu.

Halafu huyo mama Obama ana mdomo mbaya kutwa kucha fizi zinaonekana, usiku akilala huyo kama humjui unatoka mbio, ni kutiana kinyaa tu, na hiyo minjix. Hana uzuri wa kusifika.
 
Ann yupo bomba huwezi amini ana watoto watano na wajukuu kadhaa na ana miaka sitini na ushee,pesa bwana ni sabuni ya mwili
 
Wenzenu wanaangalia point nyie malavidav,waafrika bwana raha kweli, mungu hakutunyima vyote kwenye amri ya sita tuko juu. Sio kama kuchikuchi kwenye pilipili
 
nafikiri kipindi obama anafukuzia alikua anaongea maneno yote mpaka yanamwishia mdomoni
 
Nyie mnaoponda binadamu wengine, mmeshawahi KUUMBA??? wote tu mfano wa MUNGU

Kusingekuwa neno mzuri na mbaya kama hawapo. Hata mungu lina miungu, wapo wa kizungu, kiafrika, kiasia, na wengine hutamani kuwa tazama mara mbili nao ni miungu vilevile.
 
Hao wote hakuna anaempata huyu hata ukucha wake:
African_Woman.jpg

MashaAllah!
​
 
Back
Top Bottom