Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,249
First Lady Michelle Obama is a true change-maker since taking residence in the White House.
http://www.forbes.com/profile/ellen-degeneres?partner=msnbc
First Lady Michelle Obama is a true change-maker since taking residence in the White House.
http://www.forbes.com/profile/ellen-degeneres?partner=msnbc
mmh!? pengine ujumbe hukuuelewa.So!!!!!!!
Binafsi namuhusudu sana huyu mama, ni symbol ya strength of a woman, natamani first lady wetu angefikia hata nusu ya uwezo wake.
Angekuwa" Fesiti led"wa kwetu angevaa nguo za manjano na kijani za Chagua CCM,Chagua KikweteSo!!!!!!!
Angekuwa" Fesiti led"wa kwetu angevaa nguo za manjano na kijani za Chagua CCM,Chagua Kikwete
So!!!!!!!
tena namuhusudu sana mama salma kwa mavazi yake ya vitenge, kwa nini aji pretend kuvaa masuti ya kizungu? Mbona wakina mama wa west afrika huwa wanavaa vitenge full time nao vinawapendeza tu?
Endelea hivyo hivyo mama hayo ni mavazi ya heshima unayovaa na yanakupendeza hasa!
Wengine kazi yao ni wivu na kusema watu tu.
natamani my wife awe kama yeye
Mooney and position mattersnatamani my wife awe kama yeye
Kwani huyu mama anauwezo gani? Amefanya nini tangu mumewe achukue nchi?Binafsi namuhusudu sana huyu mama, ni symbol ya strength of a woman, natamani first lady wetu angefikia hata nusu ya uwezo wake.
mmmmhJamani mwacheni First lady wetu anajitahidi kuvaa kiafrika zaidi
First Lady Michelle Obama is a true change-maker since taking residence in the White House.
http://www.forbes.com/profile/ellen-degeneres?partner=msnbc