Elections 2010 First lady anaahidi barabara ya Lami Mkata-Kilosa

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,083
5,067
Nimepata habari ya kuwa First lady alikuwa Kilosa jana na katika kijiji cha Kimamba aliahidi barabara y alami njia ya Mkata na pia vijiji vyote vya Kilosa kupatiwa maji.
hili ni jimbo la Mkulo.
 
Huyo mama toka akiwa mwalimu na mwananchama wa CWT alikuwa na kiherehere sana! Hebu waulize CWT wakupe michapo yake alipokuwa anahudhuria vikao na semna za vyama vya wafanyakazi. Zero brain huyo!
 
Wazee wanasema ukitaka kupima akili za mume angalia matendo ya mkewe
 
Hayo ndiyo tunayotegemea kuyaona pale urais unapogeuka kuwa ni suala la kifamilia. Sijui wanasayansi wanaosema rais ni Institution wanamaanisha nini. :israel:



Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha
 
Mimi sielewi kama nchi inatawaliwa na JK au Riz1 na mama yeke. Jamani anayejua anisaidie huyu mama atapata wapi budget?
 
Rais wa Nchi inapokosa msimamo mambo kama haya hutawala....si ajabu kesho ukasikia House girl wa Kikwete aahidi shule mashine ya kuosha sahani!
 
Nimepata habari ya kuwa First lady alikuwa Kilosa jana na katika kijiji cha Kimamba aliahidi barabara y alami njia ya Mkata na pia vijiji vyote vya Kilosa kupatiwa maji.
hili ni jimbo la Mkulo.


Hana mamlaka ya kuahidi chochote, kwanza si alistaili kuambatana na mwenzie Mr Kikwete kipindi hichi, au atamfichia jamaa white? nadhani mnanielewa mliowahi kucheza pool
 
Khaa..!
Kumbe naye anakusanya kodi.?
Ukilewa madaraka unadhani nchi ni kampuni yako..
 
sasa hivi hizi ahadi wanajiropokea tu hata hazina maana, sijui hata wanaelewa wanasema nini. bado utasikia watoto nao wataanza kuropoka ahadi
 
Si mnakumbuka mumewe alimsifu katika hotuba yake ya kwanza baada ya kuingia madarakani kwamba hata yeye alimshangaa jinsi alivyofanya kazi kubwa ya kumpigia kampeni? Mgema akisifiwa....tembo hulitia maji. Maskini mama wa watu akafikiri wantanzania mlifurahia sana kazi yake sasa anataka kuvunja rekodi yake ili, na pengine kuwafunika wenzie:tape:!!!
 
quote_icon.png
Originally Posted by Chakaza
Wazee wanasema ukitaka kupima akili za mume angalia matendo ya mkewe


Du, Chakaza wewe ni noma Mazee !!!
 
Back
Top Bottom