<br />why hujawahi sikia?
<br />
<br />
sijawahi mimi naona mtoto ni mtoto tu.
hmmmm....I wonder kama wa Swedish wanayo hii imani
Mtoto wa kwanza kwa mama yupi?Mi kwangu hili ni jipya kabisa na I strongly refute the claim.....mtoto wa kwanza wa JK hivi ni msichana ama mvulana?
Mimi nawajua watanzania nawahindi wenye imani hii....
Nafikiri ni universal...........
Mi kwangu hili ni jipya kabisa na I strongly refute the claim.....mtoto wa kwanza wa JK hivi ni msichana ama mvulana?