Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,520
- 2,091
Mazee kila kwenye zali wewe upo!
Nimeongea na mdogo wangu anayefanya kazi pale PPF ni simulation ya fire oubreak in case ikitokea so jengo halijaungua ila ni mazoezi tu wakuu.
zenji ni mbali masanilo, huu yuko mjini humo humo
Kuna Precision na speed boat mazee! Lini tena Estonia?
Kama ni jambo jema mbaya nini tukilifanya?? Au ndo kila kitu lazima tudese?? Wabongo Bwana, tukidesa uvivu wa kufikiri; tukibuni vyetu oooh hata ulaya haipo!!! kazi kwelikweliHaya mazoezi mbona hatuyaoni katika nchi za hawa wenzetu huku?
Mananilo huo mti unaumwagia kila siku mbona haukui...
Haya mazoezi mbona hatuyaoni katika nchi za hawa wenzetu huku?