Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,240
- 44,308
Data zinahifadhiwa kidigitali, hivyo hazifutiki. Ni kama picha, video na taarifa nyengine za Digitali.vyema mkuu kwa sura sawa, je alama za vidole nao hue expire?
Data zinahifadhiwa kidigitali, hivyo hazifutiki. Ni kama picha, video na taarifa nyengine za Digitali.vyema mkuu kwa sura sawa, je alama za vidole nao hue expire?
ndio watu tuliokocna bongo mkuu. huruma sanaMbwembwe nyingi halafu unashindwa kuelezea kikamilifu , kwa maelezo yako fingerprint zina expire !!
Kiuhalisia finger print ni forever. Or else criminals wangukuwa kwenye safe zone baada ya records ku expire
Ahsante chief mkwawa, manake mfano Mtu aliyejisajili Nida kwa mfumo wa vidole. akienda ku renew I'd yake after ten years akiweka Vidole jina lake lita appear kwenye System?Data zinahifadhiwa kidigitali, hivyo hazifutiki. Ni kama picha, video na taarifa nyengine za Digitali.
Yes mkuu umejibu vema,hapo juu wengi wamejibia kuonyesha ni kiasi gani middle class wetu ni shida,finger prints hazina expired date, na zinatakiwa ziwe ndani ya systems ya nchi na sio kwa uhalifu tu kuna faida nyingi mno,ndio maana wenzetu kuomba passport unatakiwa uwe na ID tu,finger prints pia zinasaidia utambuzi na sasa ukienda bank inabidi utumie kidole chako ili account informations zako zitokee kwenye screen ,ID wakuu hii ni LIFE BOOK ,inatakiwa uzaliwe nayo na kufa nayo, haina ukomo, why zetu zina ukomo...ni matokeo ya kuishi in a pithole countryAlama za videlo hazina expire date kwenye mfumo labda zifutwe au mfumo uharibike beyond repair
Sababu ya ku renew ni mabadiliko ya details, sura nk
Si sahihi sana kusema alama za vidole ni kwa ajili ya ku track criminals(ingawaje inarahisisha sana zoezi hilo)......... itoshe tu kusema alama za vidole ni utambulisho bora wa mtu katika karne hii ikiwemo na DNA pamoja na Dental formula
Siku hizi maofisini una sign in and out kwa alama za vidole
Huko mbeleni tutaacha kabisa kutumia cards, itakua ni mwendo wa alama za vidole tu
Ndio mkuu kama data zilihifadhiwa vizuri litatokeaAhsante chief mkwawa, manake mfano Mtu aliyejisajili Nida kwa mfumo wa vidole. akienda ku renew I'd yake after ten years akiweka Vidole jina lake lita appear kwenye System?