Ruwamangi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 1,369
- 2,552
JF ni kisima cha maarifa na wataalam mbalimbali naomba kufahamu Alama za vidole kwenye mfumo wa usajili wa mashine ya kusajili Alama za vidole je hufika muda na alama hizo ku expire(kufutika) automatically kwenye mfumo?
Tumeona NIDA Kuna ku expire date kwa I'd kwamba baada ya miaka kumi tuta renew Card za NIDA.
Karibu WanaJf kwa elimu na maarifa zaidi
Tumeona NIDA Kuna ku expire date kwa I'd kwamba baada ya miaka kumi tuta renew Card za NIDA.
Karibu WanaJf kwa elimu na maarifa zaidi