Dah BAK inapendeza sana japo inasikitisha sana. Apumzike kwa amani mzee wa watu.
Vipi Mkuu Mr Rocky, hukuangusha chozi hata moja? Very touching na binti akagharimia gharama zote za mazishi baada ya kuamua kubadili jinsi walivyoipanga harusi yao na pia kuahirisha honeymoon. Huyo mdada mweusi anayelia ndiye mama wa binti harusi, walikuwa wameoana na mume wake kwa miaka 37.
[FONT=Century
Gothic]Vipi Mkuu Mr Rocky, hukuangusha
chozi hata moja? Very touching na binti akagharimia gharama zote za
mazishi baada ya kuamua kubadili jinsi walivyoipanga harusi yao na pia
kuahirisha honeymoon. Huyo mdada mweusi anayelia ndiye mama wa binti
harusi, walikuwa wameoana na mume wake kwa miaka 37.
[/FONT]
I am really touched my Brother BAK ...
Imenipa sababu zaidi ya kuendelea kumshukuru Mungu kwa vile anavyoendelea kutupa fursa nyingine, afya na riziki zetu za kila siku japo tunachukulia 'for granted''
Humbly thankful.
Mkuu Tized life is so precious....lazima tumshukuru Muumba wetu kila siku tunayoamka salama salmini pamoja na wapendwa wetu wote Mkuu. God bless you Mkuu and all your loved ones.
Father-daughter relationship is something very special.
Its true sijui kwanini watoto wa kike wanawapenda sana dady zao na kinyume chake.......