find x

Mkuu The Listener,kwa niaba ya Mwali, ningependa kukuhakikishia kuwa mimi kwa mahesabu ni mkari!, na tuhesabu tudogo tudogo twa kunywea maji kama hutu hatunipi shida.
I am a practical scientist , with a sense of humour.

Kwa taarifa yako tu hata hilo jibu la mwenzio lina error,it should be

x=sqrt(3[SUP]2 [/SUP]+4[SUP]2[/SUP])=5

mind you the brackets!

Hata hivyo Mwali , akiwa mwali si lazima ajue mahesabu sana maana umwali wake toosha kabisa

Mkuu kwa msada mdogo,swali ni find x n not its value.labda libadishwe na kuwa find the value of x ili uwe sahih na jib lako.
 
yaani wengi wamekurupuka katika kucomment hii thread hawajaelewa kwamba hii ni joke na hawajacheka wamekimbilia kusolve hesabu...jamaa kaambiwa afind x sa akazungushia duara kwamba kaiona x bla kuifanya hesabu yenyewe
hahahah kweli jamaa kilaza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom