Jimmy MUsa
JF-Expert Member
- Oct 14, 2020
- 240
- 176
180?Triangle always have 360 deegree
X si hiyo inaonekana iko na alama kabisa X ??Mnawezaje hizi mambo!?
[emoji2] kwamba tafuta X na X yenyewe inaonekana hapoX si hiyo inaonekana iko na alama kabisa X ??
Ova
Si ndiyo hapo 😂😂😂[emoji2] kwamba tafuta X na X yenyewe inaonekana hapo
Tulipokuwa darasa la 6 na 7, kwenye maswali ya aina hii tulikuwa tunatumia kanuni moja iliyokuwa inasema hivi: pembe mbili za ndani za mbali ni sawasawa na pembe moja ya nje
Nashindwa elewa yani, x ipo ila mnaongeza na 110 ili iweje?X si hiyo inaonekana iko na alama kabisa X ??
Ova
Kna mwanangu mmja alikuwa anasemaga hesabu somo la wachawi 😂😂😂Nashindwa elewa yani, x ipo ila mnaongeza na 110 ili iweje?
Kna mwanangu mmja alikuwa anasemaga hesabu somo la wachawi 😂😂😂Nashindwa elewa yani, x ipo ila mnaongeza na 110 ili iweje?
Hili somo wengine mwalimu alikuwa akingiaa darasani watu tunaruka dirishani 😂😂Nashindwa elewa yani, x ipo ila mnaongeza na 110 ili iweje?
Somo la wachawi kweli 😂Kna mwanangu mmja alikuwa anasemaga hesabu somo la wachawi 😂😂😂
Hili somo wengine mwalimu alikuwa akingiaa darasani watu tunaruka dirishani 😂😂
Ova
Utani wa ngumi[emoji2] kwamba tafuta X na X yenyewe inaonekana hapo