mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,322
- 137,914
Yah hesabu nlipata C ila nlipata kibabe sanaHahahahah choo kilikuwa paradise ya masela 😂😂😂
Somo la wachawi kweli 😂
Wakat wa mtihani wale johny kisomo tulikuwa
Tunakula sahani moja nao
Ila hesabu kwang ilikuwa pasuaa sanaa
Hahaha
Umenikumbusha wkt nasoma sangu sec headmaster mwl makande,tukiingia shule tunaishiaa chooni tu mpk muda wa kutoka tunatoka hahah aise
Ova