doti moja tu!! itafute tena iwe sehemu moja constantly!!
sema wewe mamii wataka nini!
mi ntakupa with all my soft heart!!
cc.. miss neddy.. Phlagiey (we si unaona eenh! njoo hapa sasa!! hahaaa!), Mr Rocky, Ntuzu, mwallu, MziziMkavu, Mndengereko .. and all others!
kweli mtoto mzuri!?
mbona zawadi ndogo hivi umechagua?
Mie hiyo hiyo nimeridhika, tena kama kuna pipi kifua huko, hiyo itakua poa sana dadiiiii...
Hapo mchicha umerudi twisheni..
NImemwita na mwanangu mdogo hapa anisaidia kashindwa sasa nimemuambia mama yao kuanzia leo hakuna kupika mchicha hapa kwangu kama watashindwa kuniambia hako kadot kako wapi.?
Nabyolaga sn miso lkn Naona nyeusi! Ukipepesa macho ndo unaona black dots!
lol! kwa haraka haraka, hebu jionjee hii..!
nenda kimoja kimoja mamii usije ukakabwa eenh!!
sio vipipi lakini, hivi ni vibites tu vidogo dogo after dinner..!
tian ndo wifi eeeeh