donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,040
- 21,513
Mc Laurian's theorem, newton raphson formula, ma numerical methods yote, au differential calculusMchoro umekosewa kuchorwa, kwa jinsi ilivyoandikwa a ni 18 degrees kama alivyoonyesha APEFACE , basic Euclidean axioms and arithmetic.
Nyuzi zote za ndani za pembetatu yoyote ni lazima ziwe 180 kwa mujibu wa Euclidean geometry, labda uniambie pembetatu hii haipo katika Euclidean Geometry. Kuna pembetatu zilizo na nyuzi zaidi ya 180, na nyingine zina nyuzi chini ya 180, lakini hizo ziko katika curved spacetime, non-Euclidean Geometry.
That is axiomatic. Fiat. Ukibisha unabishana na Euclidean axioms.
Lakini mchoro haujakaa kwa angles hizo ukiuangalia kwa macho, ni kama equilateral triangle ambayo itakupa majibu tofauti ya a=60, a= 12 na a= 15 degrees simultaneously, a contradiction.
Hizi hesabu za darasa la sita, hebu leteni mambo kama ya Fermat's Last Theorem, Ramanujan's proofs na vitu kama vya Grigori Perelman.