C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,080
- 3,770
Whether ni franchase or not is immaterial. The point here ni kwamba wanafanya predatory landing kuwadhurumu walimu na wafanya biashara ndogondogo pamoja na wakulima.
PRIDE did and is doing is the same, mtu anakopeshwa mkopo halafu anatakiwa kila wiki awe anarudisha na interest. Umeona wapi mkopo una interest kwa wiki? Mnakopeshwa as group lakini kila mtu anapewa fungu lake mwenye mamlaka ya kulitumia anavyotaka ila akidefault mnafilisiwa members wote wa group! Utamfilisi mtu kwa mkopo ambao hakuwa na mamlaka ya kuamua jinsi ya kuutumia?
Watu wetu bado wako unaware na financial management na uwepo wa hawa predatory lenders. Kwahiyo serikali inabidi iwaprotect hawa wananchi. Tunasema biashara huria, ndio lakini predatory lending ndio iliyosababisha mmomonyoko wa uchumi duniani. Unakopesha mtu ambaye unajua kabisa hatakuwa na uwezo wa kulipa just because unajua in the end either utamfilisi au serikali itafidia (bail out). Haya mashirika mpaka sasa kamchango kadogo walicholeta kwenye jamii ni kutoa ajira mbili tatu za maafisa wake lakini kwa wafanya biasha inawafilisi na kuwalostisha.
Anyway ila swali ambalo mimi huwa nawauliza watu wengi ambao huwa wanalalamika kuwa wanadhulumiwa na hawa watu wanaowakopesha ni hili
dogo tu
hivi mtu unavyoenda kuomba mkopo si huwa kuna Terms na Conditions ambazo mtu huwa anasoma na Ku SIGN?
sasa iweje mtu alalamike kama kwa akili ya kawaida tu aliona kuwa muda ambao mkopo unaoenda kuuchukua huwezi kuurudisha?