NIGGA
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 1,239
- 641
Hujui kazi ya google search engine?
Ha ha ha...imebaki tu kuuliza google ni nini?
Hujui kazi ya google search engine?
Tatizo lako umeoea kubishana.
Tuambie FINCA interest yake ni kiasi gani?
Iwapo mtu atashindwa kulipa FINCA wanamfanya nini?
Sasa asilimia 5 niliyotaja mimi na hiyo 4 na 3 unazotaja wewe zina tofauti gani?Inawezekana nikawa nalo hilo tatizo kweli lakini katika hili umechangia kishabiki tena juu ya jambo ambalo inawezekana haulielewi kabisa.
FINCA wanatoa mikopo ya vikundi ambavyo wanacharge asilimia 4 kwa mwezi na mkopo unarejeshwa katika kipindi cha miezi kati ya mitatu na sita.
Mikopo ya mtu binafsi riba ni asilimia 3 kwa mwezi.
Sio manzese ni magomeni mwembe chai
Sasa asilimia 5 niliyotaja mimi na hiyo 4 na 3 unazotaja wewe zina tofauti gani?
Inawezakan unashindwa kuelewa hesabu. For your information asilimia 4 kwa mwezi ni sawa na asilimia 48 kwa mwaka, yaani ukichukua mkono wa sh. 1,000,000 unarudisha 1,480,000. Mkopo wa namna hii hata Mengi hawezi kuafford!
ndo maana nimekuuliza unaposema riba ni kubwa unafananisha na ipi? nijibu tuendelee.
Huna haja ya kufananisha na nyingine.
Wewe mtu akikurushia jiwe kichwani ukasema limeuma, halafu akakuuliza unaposema linauma unafananisha ni nini, utajibu vipi?
Kufananisha hakuna mantiki kwenye hili.
Kwahiyo unachotakiwa kufanya wewe ni iwapo unaona riba ya asilimia 48 kwa mwaka sio kubwa basi fafanua udogo wake na jinsi mfanyabiashara anavyoweza kuinvest huo mkopo mdogo apate faidi zaidi ya asilimia 48 kwa mwaka ili aweze kulipa mkopo na kupata faida, taking into account kwamba mkopo wenyewe anaanza kuulipa wiki mbili from the day aliyouchukua.
yaan huwa sitaki hata kuwasikia hao finca ki ukweli wanatumia umasikini wa watu kuwapa mkopo,mimi ni shahidi in my family.walikopesha kama kikundi pale kijijini kwetu then wale wakagawana kila mtu afanye biashara anayoona but week ya pili from siku wamepewa mkopo walitakiwa kuanza kulipa mkopo huo kiasi kwamba wengi walijikuta wanazirdisha hizo hela kuzilipa na hakuna biashara waliyoanzisha na bado wakawapora vitu vyao vya ndani,mimi mama yangu hadi walichukua simu yake ya tochi kuiuza aweze kulipa rejesho la week ilifika hadi kipindi wakataka kuuza nyumba yetu kisa wameshindwa kulipa kwa wakati niliingilia kati nikawaambia nyumba ya watoto wawachukue waliowakopesha hiyo ikaishia hapo.kikweli watu wanaonewa sana na hawa finca mara pride unawatia umasikini mara mia zaidi na kuacha mtafaruku kwenye familia za watu...
Okay.
Finca inawateja zaidi ya laki moja,na majority ya hao wateja (zaidi ya asilimia 70) ni repeat customers.unamaanisha hao wateja wote hawajui kwamba riba ni kubwa?
Umeona ushuhuda huo hapo juu?
Sasa asilimia 5 niliyotaja mimi na hiyo 4 na 3 unazotaja wewe zina tofauti gani?
Inawezakan unashindwa kuelewa hesabu. For your information asilimia 4 kwa mwezi ni sawa na asilimia 48 kwa mwaka, yaani ukichukua mkono wa sh. 1,000,000 unarudisha 1,480,000. Mkopo wa namna hii hata Mengi hawezi kuafford!