The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,667
Kabla haijawa Bank now
siku zote nilikuwa nina assume kuwa FINCA
ni shirika la misaada from Finland
Kuna mtu humu anaweza kutufahamisha
Finca kama ni Bank ni Bank ya Tanzania,imeanzia hapa?
zamani ilikuwa nini?
NGO?shirika la misaada?
je ni la watanzania asilimia 100?
au kama kuna wageni wanahusikaje?
imesajiliwa as bank like the rst au?
siku zote nilikuwa nina assume kuwa FINCA
ni shirika la misaada from Finland
Kuna mtu humu anaweza kutufahamisha
Finca kama ni Bank ni Bank ya Tanzania,imeanzia hapa?
zamani ilikuwa nini?
NGO?shirika la misaada?
je ni la watanzania asilimia 100?
au kama kuna wageni wanahusikaje?
imesajiliwa as bank like the rst au?