Financial management | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Financial management

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Jul 12, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Jamaa kaingia hotelini ili ale halafu ana sh 3000 tu.
  akaagiza msosi wa sh 9000,matunda sh 2000,na kinywaji sh 2000.
  Alipomaliza kula akaletewa bill yake ilikuwa sh 13,000.
  Jamaa akagoma eti hana hela.Hotel manager akapiga simu polisi ili wamchukue,polisi wakamchukua
  walipokuwa njiani akawahonga polisi sh 3000 aliyo nayo then akaachiwa.

  This is called
  FINANCIAL MANAGEMENT.
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  MZEE: Docta tangu niwekewe moyo mwingine mawazo yangu ni ngono tuu na kupenda pesa..! inawezekana labda nimekuwa kijana au.!
  DAKTARI: hapana sihivyo kabisa. ukweli ni kwamba, tulikuekea "MOYO WA CHANGUDOA"
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mama: Nasikia wote nyie mmepata sifuri darasani!!??
  Watoto: Ndio mama
  Mama: Enhe kwa nini?
  Watoto: Kwa sababu tunakaa dawati la mwisho darasani kwa hiyo Mwalimu alipoanza kugawa maksi mpaka kufikia dawati letu zikawa zimekwisha... Ndio maana tukapata sifuri.
  Mama: Hakyanani sina watoto!!
   
 4. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mlevi kaanguka toka kwenye gorofa fasta watu wakamfuata kumsaidia wakamuuliza VP IMEKUAJE? Mlevi akajibu "HATA MIE SIJUI NDO NAFIKA SASA HIVI"
   
 5. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  sasa babu atafanya nini, moyo wa changudoa lol utamtesa!!!
   
 6. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  itabidi arudi kwenye game rasmi
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,834
  Trophy Points: 280
  Nomaaaaaa
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Proved 100%
  Accepted 100%
   
Loading...