McKobas Aok
Member
- Jun 25, 2016
- 15
- 1
Jamani naombeni msaada juu ya hii degree ya financial intelligence kwa wanayo hifahamu
Msaada unaoomba, ni upi, ni vema ukiwa na tatizo utoe maelezo ili mtu anaehitaji kukusaidia ajue specifically nini hasa unahitaji. Hilo swali lako haijulikani kama unahitaji chuo ambapo hiyo course inatolewa, fees, time frame etc, kwa tathmini ya haraka you are not serious