"Financial freedom" is something simple or hard to achiave?

Fene

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
2,945
Reaction score
4,827
Niaje

Furaha ndio highest level of success
Kuifikia hii furaha mara nyingi ni pale mtu anaweza yaishi maisha yake vile anavyotaka yeye
Hapo ndipo mtu anapotakiwa awe na financial freedom ama Uhuru wa kifedha

Je kufikia Uhuru wa kifedha ni rahisi ama sio kawaida

Mtu amiliki at least kiasi gani tunaweza sema amefikia Uhuru wa kifedha?

Au aweze kuzi maintain business zake kwa namna ipi tunaweza sema amefikia financial freedom?

Mfano
Je mtu anaemiliki bodaboda 10 ambazo zitamrudishia return ya 70k per day, 2,100,000 per month ambapo kwa wastani utakuta ametumia mtaji wa 28,000,000 tunaweza nae kum category nae yupo ktk Uhuru wa kifedha (financial freedom)? kwani kwa harakaharaka mtu huyo anaweza amua asifanye kazi tena, na akatumia 1,100,000 matumizi yake ndani ya mwezi, na akasevu 1,000,000 for future development plan na aka widen more his business projects

Tunaweza sema mtu huyo nae yupo ndani ya financial freedom?

Je financial freedom ni kitu kimoja simple au kigumu kukifikia

Na waliofikia waliwezaje?

istockphoto-1371748730-612x612-1.jpg
 
financial freedom is far more mentality than reality (materiality)........
Ni kweli kabisa unakutana na mtu kama musk anakwambia hajafikia financial freedom, halali ni mchana na usiku kupambana tu.

Ila kuna taita yuko kikubwa ana uhakika wa kula mpaka kufa basi anaona kashafikia financial freedom kwa upande wake.

Kwaio hii case iko ki mental zaidi
 
Shukran sana ndugu kwa kuelewa hilo,..japo mi ni mvivu kwenye kuandika,...ndo sababu ya kushindwa kujazia nyama point yangu hapo juu,......
 
Finicial freedom kwa wabongo ni hii:

Jenga, nunua kausafiri,
Miliki hela ambayo watoto wako na mkeo au ndugu wakipata tatizo ina kuwa siyo shida kuwasaidia ikiwa ni pamoja na kuwapeleka kwenye hospital za maana kama vile Aghakhan n.k
 
financial freedom is far more mentality than reality (materiality)........
Ni kweli lakin Kuna level ukijipa level ya financial freedom (mentally) unaweza lala njaa
 
Finicial freedom kwa wabongo ni hii:

Jenga, nunua kausafiri,
Miliki hela ambayo watoto wako na mkeo au ndugu wakipata tatizo ina kuwa siyo shida kuwasaidia ikiwa ni pamoja na kuwapeleka kwenye hospital za maana kama vile Aghakhan n.k
Ila Bakhresa yupo ktk financial freedom, yupo bongo hii hii
 
Niaje

Furaha ndio highest level of success
Kuifikia hii furaha mara nyingi ni pale mtu anaweza yaishi maisha yake vile anavyotaka yeye
Hapo ndipo mtu anapotakiwa awe na financial freedom ama Uhuru wa kifedha

Je kufikia Uhuru wa kifedha ni rahisi ama sio kawaida

Mtu amiliki at least kiasi gani tunaweza sema amefikia Uhuru wa kifedha?

Au aweze kuzi maintain business zake kwa namna ipi tunaweza sema amefikia financial freedom?

Mfano
Je mtu anaemiliki bodaboda 10 ambazo zitamrudishia return ya 70k per day, 2,100,000 per month ambapo kwa wastani utakuta ametumia mtaji wa 28,000,000 tunaweza nae kum category nae yupo ktk Uhuru wa kifedha (financial freedom)? kwani kwa harakaharaka mtu huyo anaweza amua asifanye kazi tena, na akatumia 1,100,000 matumizi yake ndani ya mwezi, na akasevu 1,000,000 for future development plan na aka widen more his business projects

Tunaweza sema mtu huyo nae yupo ndani ya financial freedom?

Je financial freedom ni kitu kimoja simple au kigumu kukifikia

Na waliofikia waliwezaje?

View attachment 3093817
Aisee bro, umenena! 💯 Kwanza kabisa, financial freedom ni safari, na kwa kila mtu inaweza kuwa tofauti. Yule mwenye bodaboda 10 na anaingiza hiyo return ya 70k per day, kwa kiasi fulani tunaweza sema yupo kwenye level nzuri ya uhuru wa kifedha, ila bado itategemea na malengo yake binafsi na lifestyle anayopenda kuishi. Kama anaweza kumaintain hiyo biashara bila stress na pia akaendelea kukuza miradi mingine, hiyo ni dalili njema ya financial freedom.

Lakini pia, financial freedom sio tu kuhusu kuwa na biashara nyingi au mapato mazuri, ni kuhusu kuwa na uwezo wa kuendesha maisha yako vile unavyotaka bila kusumbuliwa na presha za kifedha. Kila mtu ana threshold tofauti ya financial freedom, wengine wanahitaji zaidi, wengine kidogo.

So, ni suala la mtu kujipanga na kujua anataka nini na vipi anaweza ku-balance kati ya matumizi, savings, na kuwekeza. Ila kwa uhakika, financial freedom sio kitu cha "one-size-fits-all," ni personal na inahitaji commitment na uelewa wa mambo ya kifedha. Keep pushing and keep growing! 🌱🚀
 
Ukiona unaamka asubuhi sana kuwahi kibaruani, kwenda kuteseka au kumnyenyekea bosi ata kama unamiliki bilioni 100; bado hujawa na uhuru wa kifedha.

Kuwa na uhuru wa kifedha maana yake, ata ujiamulie kukaa nyumbani mwaka mzima, fedha zenyewe zinatiririka kwa mfumo uleule ulioutengeneza, si lazima wewe kwenda 'site'.​
 
Mkuu, umenena vema kabisa! 🔥 Huo ndio ukweli wenyewe. Uhuru wa kifedha sio tu kuwa na pesa nyingi, bali ni uwezo wa kuishi maisha yako jinsi unavyotaka bila kuwa na wasiwasi wa kifedha kila wakati. Ikiwa una pesa lakini unajikuta bado unalazimika kufanya kazi kila siku au kuendekeza biashara yako bila mapumziko, basi hujafikia kiwango hicho cha uhuru wa kifedha.

Uhuru wa kifedha unahusisha kujenga mifumo thabiti ambayo inakuwezesha kuishi maisha yako bila kujali kama uko kwenye kazi au unapumzika. Hii inaweza kuwa kwa njia ya kuwekeza, kujenga vyanzo vingine vya mapato, au hata kutumia teknolojia ili kuendesha biashara yako bila wewe kuwepo kila wakati.

Lazima ujenge mifumo inayokufaa na inayokufanya uwe na uhuru wa kutumia muda wako jinsi unavyotaka bila kuwa na wasiwasi kuhusu fedha. Keep pushing towards that goal, na utaona matokeo mazuri! 💪🏽💼🚀
 
Ni kweli mkuu, wenye uhuru wa kifedha hapa duniani ni wachache, wengi bado tunateseka.
 
Inategemea na malengo uliojiwekea MTU na MTU

Ila Kama unaweza kuwa na AKIBA ambayo unaweza kukaa miaka miwili bila kufanya kazi

Unakula unachotaka
Unavaa
Unasaidia ndugu na jamaa
Matibabu n.k

Basi wewe tayari unakuwa upo na Uhuru wa pesa.

Ila kuhusu mchakato wa kuelekea Uhuru wa pesa ndo huwa unaambatana na kuwa na passive income

Various streams of incomes

Financial management

Being high saver and not high spender.

Network ya WATU ambao wapo well of

Afya -njema ya Akili na mwili.
 
Finicial freedom kwa wabongo ni hii:

Jenga, nunua kausafiri,
Miliki hela ambayo watoto wako na mkeo au ndugu wakipata tatizo ina kuwa siyo shida kuwasaidia ikiwa ni pamoja na kuwapeleka kwenye hospital za maana kama vile Aghakhan n.k
Hii ndo ukweli kwa wengi.Hizo nyingine zote mbwembwe.
 
Back
Top Bottom