ndio kwa bei poa tu. we upo wapiKwa hiyo utanisaidiaje mkuu.?
Mi nipo Arusha mkuundio kwa bei poa tu. we upo wapi
moshi unaweza peana kwa costa za zinazofika mpaka na kenya costa hiyo Inaitwa Emirates HOlili Moshi ArushaMi nipo Arusha mkuu
Nipe muongozo kamili mkuu>> na bei pia.moshi unaweza peana kwa costa za zinazofika mpaka na kenya costa hiyo Inaitwa Emirates HOlili Moshi Arusha
Asante.15000 kuunlock.
Mbona sasa hujaweka number ili tukutafute kirahisi?Naunlock Security,na Network ya simu hizi.
1.Samsung
2.htc
3.Huawei,
4.Lenova.
5.Xiaomi
6.Tecno.
7.Itel.
8.infinix
10.motorola
11.cat
12.LG
13.Amazon
14.ACer
15.Sony
16.Asus
17. na simu zote la android.
simu ikiwa pia na tatizo la Kustack, Freez,Bootloader,Imekufa(Rign Of Dead),Unlocking. touching screen inakua slow.
Habarini wakuu Simu tajwa hapo juu.. Hatimaye Nimeweza kui unlock bila kutumia PC sasa naweza kutumia mitandao yooote .... Shukran ..
PMMbona sasa hujaweka number ili tukutafute kirahisi?
walishwa wa marekani waweze wa bongoasante kwa taarifa na mimi nna iphone yenye ilolokiwa unaweza iaunlock nikupe bure