Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,620
- 5,250
Hii mzee haijakaa swa mara ulipishwe 5900 mara dollar moja (thaman kwa siku husika). Na mpka leo sio meneja wala mtumishi yeyote wa posta utamuuliza kuhusu hii akakujib jibu sahihi ni pesa ya nn na sometimes free kabisa ila tutafika tu kibingwaSijajua formula kusema kweli, ila siku unaitwa tu unaambiwa njoo na 2000 ya posta, unachukua mzigo. Nafikiri packaging pia hichangia.
pengine nna nyota sijawahi kutoa hela postaHii mzee haijakaa swa mara ulipishwe 5900 mara dollar moja (thaman kwa siku husika). Na mpka leo sio meneja wala mtumishi yeyote wa posta utamuuliza kuhusu hii akakujib jibu sahihi ni pesa ya nn na sometimes free kabisa ila tutafika tu kibingwa
Hivi nitakujaga kumiliki smartphone mimi kweli?! sijui asee
Picha yako wewe ukishika IPhone huku umeshangaa kupata IPhone.Picha yangu au ya iPhone?
Kumbe umezaliwa nayo, weka picha sasa tukuone jinsi ulivyoshika.Nishangae kupata iPhone? Mkuu iPhone nimetoka mbali sana na iPhone.
Kumbe hauna simu..weka sasa tukuone mpuuzi wewe.Mkuu ni Kama imekuuma hivi?
Wakuu hatimaye leo nimeipata iPhone 12 pro max 512GB!
Ni simu nzuri mno tofauti na nilivyoikandia hapa maana niliapa nitabaki kwenye 11 pro max!!
Display is much better than expected!!
Let's enjoy the world
Mkuu 11 pro max yako huiuzi?Cheers!! [emoji4][emoji4][emoji4]