Finally nimekua spinster!

Finally nimekua spinster!

Mbobezii🤣🤣🤣
Kuna vidume zaidi ya bilioni duniani, unakubali vipi kukaa kizembe? Japo najua kuwa single haimaanishi mahitaji muhimu hupati😅😅
 
Kuna vidume zaidi ya bilioni duniani, unakubali vipi kukaa kizembe? Japo najua kuwa single haimaanishi mahitaji muhimu hupati😅😅
🤣🤣🤣umetoa majibu mwenyewe.
 
Kuna namna mjukuu anataka kukusaidia kushika kiko yako mzee mwenzangu.😅😅
Itakuwa vyema sana Mzee mwenzangu.

Maana nina miezi lukuki sijatembelewa na Mjukuu hata mmoja 😜

Na huyo Mjukuu ningempatia zawadi ya Lita 3 ya asali aende akajilie akirudi Mjini 🤗
 
Itakuwa vyema sana Mzee mwenzangu.

Maana nina miezi lukuki sijatembelewa na Mjukuu hata mmoja 😜

Na huyo Mjukuu ningempatia zawadi ya Lita 3 ya asali aende akajilie akirudi Mjini 🤗
Hahahahaha, mzee mwenzangu uko vizuri!!! Au nimuite mjukuu Aaliyyah aje kula asali😅😅😅
 
Hahahahaha, mzee mwenzangu uko vizuri!!! Au nimuite mjukuu Aaliyyah aje kula asali😅😅😅
Hahaha............huyo Mjukuu tangu aende Kwa Trump Mwaka Juzi hajarudi tena Bongo kunisalimia Babu yake

Na nilivyomkumbuka Mjukuu wangu, nitamwandalia Lita 5 za asali aje alambe hadi achoke 🤗
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom