Finally mpenzi wangu kaniacha lakini bado nampenda

Finally mpenzi wangu kaniacha lakini bado nampenda

I second you kabla haujaingia katika mahusiano mapya Kwanza jipe time .jipe pumziko la moyo na akili ' Kisha ujichunguze kwa kina jifanyie tathmini ili uweze kujitambua Uzijue tabia zako chanya na zile ambazo ni hasi' Akisha zitambue zile chanya ziboreshe ili uweze kuwa mtu smart zaidi .. Ukizitambua zile ambazo ni hasi basi make sure unaachana nazo " Maana kama utajiingiza katika mahusiano mapya huku ukiwa na lundo la tabia hasi wawezakujikuta unafikwa na hiki kilicho kufika nyakati zote ''

ni vyema ukajipa time ya kujichunguza maana huwenda madai ya huyo ex wako dhidi ya tabia zako yakawa na ukweli kitu ambacho kama utashindwa kukifanyia kazi na kuki rekebisha kitaendelea kuku gharimu maishani '

Ila huwenda kisikugharimu pia endapo utaamua kuwa una date na watu wa hovyo hovyo wenye mitazamo hasi ' wasio na vision + Goals achievement zozote katika maisha yao '' ... All in all Wewe ndiye mwenye uamuzi wa kuishi unavyotaka
 
Ilikuwa kwenye mida ya saa 2 usiku alinipigia simu akaniambia nina maongezi na wewe ukiwa free kwenye saa nne ni beep Nina maongezi na wewe

Muda ulipowadia nilimbeep akanipigia tuliongea takribani dakika 20 kuhusu maisha na mahusiano ila finally alikuja kunitamkia hahitaji kuwa na mm katika mahusiano kwa sababu ameona

1. Mimi ni mtu nisieleweka

2. Pili alinipa muda mambo yangu niyaweke sawa Akaona sieleweki

3. Alishanipa muda nibadilike akaona sielweki niko vile vile

4. Amejitahidi kunipenda toka moyoni lakini moyo wake umekufa ganzi

Mwisho akaniambia tuachane Lakini pia akanisisitia ndugu zangu niwambiea Kama tumeachana nisipo sema watanitanga
Pole sana
Kama amekupa sababu za kukuacha ni vizuri, usilazimishe mahusioano na mtu ambae ameshakuona hamuendani

Fanyia kazi hizo sababu kama ni za ukweli, put yourself together na usikurupuke kuingia kwenye mahusiano mapya kwa sasa
 
Poleeeeh sanaaah yatapita tyuuuh, still life goez on.
 
Ilikuwa kwenye mida ya saa 2 usiku alinipigia simu akaniambia nina maongezi na wewe ukiwa free kwenye saa nne ni beep Nina maongezi na wewe

Muda ulipowadia nilimbeep akanipigia tuliongea takribani dakika 20 kuhusu maisha na mahusiano ila finally alikuja kunitamkia hahitaji kuwa na mm katika mahusiano kwa sababu ameona

1. Mimi ni mtu nisieleweka

2. Pili alinipa muda mambo yangu niyaweke sawa Akaona sieleweki

3. Alishanipa muda nibadilike akaona sielweki niko vile vile

4. Amejitahidi kunipenda toka moyoni lakini moyo wake umekufa ganzi

Mwisho akaniambia tuachane Lakini pia akanisisitia ndugu zangu niwambiea Kama tumeachana nisipo sema watanitanga
Jihamishie kwangu upate udiwani
 
Kwa nini na wewe ulikuwa unamchanganya mwenzako?
 
Back
Top Bottom