finally married

finally married

Tyta

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
12,767
Reaction score
10,539
764.jpg

Baada ya kuzaa jumla ya watoto 10 katika kipindi cha miaka 12, Rachael Savory hatimaye alivaa shela na kufunga ndoa na bwana Jay Wong huku watoto wao 10 wakiwa ndio wapambe baada ya harusi yao kuahirishwa mara kwa mara kwa miaka kadhaa.
 
Very impressive,imenikumbusha mada moja iliwahi kutolewa,ya kipofu mmoja ivi na jamaa mmoja....
 
huyo mama kuzaa ni hobby
 
764.jpg

Baada ya kuzaa jumla ya watoto 10 katika kipindi cha miaka 12, Rachael Savory hatimaye alivaa shela na kufunga ndoa na bwana Jay Wong huku watoto wao 10 wakiwa ndio wapambe baada ya harusi yao kuahirishwa mara kwa mara kwa miaka kadhaa.
jamaa anazali na vitunguu balaa..
 
Kuna watu wana nyota za viazi mviringo...
 
hawa wa miaka 2 na 4 naona wamekosea kulabel,aliyebebwa ni 2 na huyo mwingine 4.
 
Abeeee...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mmh hata panya hazai hivyo mwanamke king'ang'anizi huyooo hadi kaolewa
 
Nahisi anampango wa kuongeza 12 wengine lol!
 
Back
Top Bottom