William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
- Thread starter
-
- #281
Le Mutuz bana....hiyo misamiati yako huniacha hoi sana. Sasa hii"mbebs wa ukwee" umeitoa wapi tena?
Mambo niaje lakini mtu wangu? Kuna siku asubuhi nilikuona pale Ocean Road ukitembea....nadhani ulikuwa unakula tizi. Nikakupigia honi hata hukuniona
Hahahahahah lol! naona unanifananisha banaaa. Miye kwetu ufisadi MARUFUKU kabisa nawe kwa kuwa ni mkongwe hapa jamvini unajua jinsi ninavyoupiga vita ufisadi. Faranga inayoniweka mjini ni faranga yangu mwenyewe na kwa kweli namshukuru Mungu sana kwa hapa nilipofikia na kila siku namshukuru. Sasa kama wewe unataka kuamini vingine na story zako za kutunga endelea kufanya hivyo.
Kwa jinsi alivyo mzee mama yako atakuwa stahiki yake mrushie ilo deal chama
mzee wengu huna lolote
Naona umeishiwa hoja kiongozi wa kitaifa
Mzee kiongozi wa kitaifa...................................................
chama pole sana Mzee wa Miaka 51 sio haba hii itakuwa stahiki yakoUsione aibu mkuu au mama kibogoyo kwasababu ya mitungi? Nitagharima dentures mkuu usikonde mpe mama deal
Chama
Gongo la mboto DSM
- Yaaap nice pic Le Mutuz na wagombea wa Miss Ukonga, it was a great event kwa sababu iliishia kutoa mshindani wa Miss Tanzania!! Thaanks for bringing back this memory!! Zipo nyingi zaidi please bring in some more!! ha! ha! ha!
Le Mutuz!!
chama pole sana Mzee wa Miaka 51 sio haba hii itakuwa stahiki yako
kama vipi na wewe unaweza kujichukulia mana hii ni jadi yenu
chama pole sana Mzee wa Miaka 51 sio haba hii itakuwa stahiki yako
kama vipi na wewe unaweza kujichukulia mana hii ni jadi yenu
- At least sina Miaka 70 na mke wa kumuibia mtu mwenye miaka 30, huoni kwamba ni noma sana!, sasa wewe si ulisema sina lolote bado upo? ha1 ha! ha! ha!
Le Mutuz!!
Mzee na hii hapa ni mISS uKONGA?
MZEE HIVI NA HII NI MISS YA WAPI VILE
samahani braza eti una miaka mingapi?- Lets say sina lolote na wewe unalo lolote, then why waste your time na asiye na lolote, I mean si ni simple commonsense kwamba nina lolote ndio maana hubanduki hapa! ha! ha! ha! Le Mutuz!!
MZEE HIVI NA HII NI MISS YA WAPI VILE
Michezo ya kishoga ipo Chadema nasikia mna kiongozi shoga huko!!
Chama
Gongo la mboto DSM
samahani braza eti una miaka mingapi?
MImi sio mwanachadema
Kumbe unajua kazi yenu na Lusinde
Hivi 51 years hujaoa unategemea nini?
Mzee na hii hapa ni mISS uKONGA?