Finally ErickB52 & Judgement uso kwa macho!

Mbona mimi mmenibagua jamani? Kwa vile nilisema ningekuja na Paw? Tukiwa mtaani hapigi ban.

Bora hata invisible ningewaza hata nivae miwani walau niwe namuangalia kwa chini chini! Lakini Paw?? Yaani Paw kabisa? Mwenzangu nyie komaeni tu wenyewe! Lol
 
kukutana, kufahamiana na kubadilishana mawazo ni jambo zuri si vibaya pia kwa sisi tunaokaa Dar tukapanga japo siku moja ya week end tukakutana kwa lengo hilo nafikiri tunaweza kufungua ukurasa mpya.. wa kusocialize mambo!
 
Hatimae ile dream niliyokua nikiisubiria muda kitambo, leo milango ya saa 11 na ushee ikatimia.
Tumeonana tumeongea , tukabadilishana mawazo .
Niseme moja tu, kwamba imagination yangu haikua mbali na ambavyo nilimfikiria alivyo.
He's so charming , muelewa , creative. Inshort generally ni mtu makini .
Nadhani huu ni mwanzo mzuri , na mategemeo nitafahamiana na wengine pia.
Judgement .
je kwa siku mmja unaweza mwelezea mtu hivyo
 
Judgment mkumbushe Erickb52 kupitia meatu kuwaangalia watoto wake wanateseka sana.
Na ninavyowajali naelekea meatu kuwapelekea chakula na mavazi kidogo kama baba wa kujitolea
 
Last edited by a moderator:
Hatimae ile dream niliyokua nikiisubiria muda kitambo, leo milango ya saa 11 na ushee ikatimia.
Tumeonana tumeongea , tukabadilishana mawazo .
Niseme moja tu, kwamba imagination yangu haikua mbali na ambavyo nilimfikiria alivyo.
He's so charming , muelewa , creative. Inshort generally ni mtu makini .
Nadhani huu ni mwanzo mzuri , na mategemeo nitafahamiana na wengine pia.
Judgement .
Pamoja daima Judgement
Pia nimefurahi sana aisee
 
Last edited by a moderator:
haya mambo ya kukutana haya mmmh! unaweza ukajikuta unapanga kidate na mama yako wa kambo!
 
kukutana, kufahamiana na kubadilishana mawazo ni jambo zuri si vibaya pia kwa sisi tunaokaa Dar tukapanga japo siku moja ya week end tukakutana kwa lengo hilo nafikiri tunaweza kufungua ukurasa mpya.. wa kusocialize mambo!
worrrddddd! nitafika wa kwanza, lol!
 
Back
Top Bottom