Finally ErickB52 & Judgement uso kwa macho!

kukutana, kufahamiana na kubadilishana mawazo ni jambo zuri si vibaya pia kwa sisi tunaokaa Dar tukapanga japo siku moja ya week end tukakutana kwa lengo hilo nafikiri tunaweza kufungua ukurasa mpya.. wa kusocialize mambo!

Agree, mi napendekeza tukutane jumapili ya wiki hii.
 
Mbona mimi mmenibagua jamani? Kwa vile nilisema ningekuja na Paw? Tukiwa mtaani hapigi ban.
hivi we unadhani mtu ambaye anapewa ban kila mara humu akikutana na paw bila kufahamiana halafu
wakajitambulisha unadhani nini kitatokea?
 
je kwa siku mmja unaweza mwelezea mtu hivyo

Labda wewe ndiyo itakusumbua!
To me i'm sure my skills, ability, attitude allow me to acknowledge soon someone lookin like .
You just know SPEAKIN, LISTENIN, WRITIN and READIN effectively , are those good communication skills.
Always we talk to people face to face and we listen when people talk to us.
For it to be successfuly the receiver must understand the message in the way that the sender intended.
Coz when someone talk to me always i try to see perspectives.
 
haya mambo ya kukutana haya mmmh! unaweza ukajikuta unapanga kidate na mama yako wa kambo!

Hahahahaaaaaaaaaaa mbavu zangu mieeee......uwiiiii, umeona eee watu8???hata mie naogopa kukutana na baba wa kambo...lol
 
Last edited by a moderator:
hivi we unadhani mtu ambaye anapewa ban kila mara humu akikutana na paw bila kufahamiana halafu
wakajitambulisha unadhani nini kitatokea?

Wana c u excellent where u at hebu nambie njipange hehehe staki miee mijicho yangu ntakavyoitumbua hihihihii
 
:biggrin1: did you just bump into each other or mliekeana appointment mkutane? na je yeye baada ya kukutana na wewe amekuonaje...aje aseme hapa
 
Back
Top Bottom