Finally ErickB52 & Judgement uso kwa macho!

aisee Erickb52 vipi umeshawaona watoto huko meatu? wa Mr Rocky nasikia
Hahahaaaaa Kaizer wale watoto wapo na nasikia baba yao ana mpango wa kwenda Kuwafuata na inawezekana kesho akaenda Meatu kuwachukua!
Dah bora Mr Rocky aende tu maana hawataendei haki watoto wake coz wanampenda sana!
Mi niliwapa jero jero za pipi basi!
 
Last edited by a moderator:
Mwenye hamu ya kukutana na mimi ani pm. Mi nataka kukutana na wote ila mwenye nia
 
Hatimae ile dream niliyokua nikiisubiria muda kitambo, leo milango ya saa 11 na ushee ikatimia.
Tumeonana tumeongea , tukabadilishana mawazo .
Niseme moja tu, kwamba imagination yangu haikua mbali na ambavyo nilimfikiria alivyo.
He's so charming , muelewa , creative. Inshort generally ni mtu makini .
Nadhani huu ni mwanzo mzuri , na mategemeo nitafahamiana na wengine pia.
Judgement .
natamani na mie ningekuwepo hapo......
 
Back
Top Bottom