Finally ErickB52 & Judgement uso kwa macho!

Finally ErickB52 & Judgement uso kwa macho!

Mimi nataka sana nionane na Paw nimpongeze! alishawahi kunipiga ban mara mbili. jamaa hataki upuuzi kabisa!

mimi nataka kuonana na wewe......
 
Last edited by a moderator:
Hatimae ile dream niliyokua nikiisubiria muda kitambo, leo milango ya saa 11 na ushee ikatimia.
Tumeonana tumeongea , tukabadilishana mawazo .
Niseme moja tu, kwamba imagination yangu haikua mbali na ambavyo nilimfikiria alivyo.
He's so charming , muelewa , creative. Inshort generally ni mtu makini .
Nadhani huu ni mwanzo mzuri , na mategemeo nitafahamiana na wengine pia.
Judgement .

Enhee Judgement hujaeleza vizuri.......... Erickb52 ni mzee kama wewe au ni kijana kama Bishanga?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom