Finally ErickB52 & Judgement uso kwa macho!

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Hatimae ile dream niliyokua nikiisubiria muda kitambo, leo milango ya saa 11 na ushee ikatimia.
Tumeonana tumeongea , tukabadilishana mawazo .
Niseme moja tu, kwamba imagination yangu haikua mbali na ambavyo nilimfikiria alivyo.
He's so charming , muelewa , creative. Inshort generally ni mtu makini .
Nadhani huu ni mwanzo mzuri , na mategemeo nitafahamiana na wengine pia.
Judgement .
 
Jaman even me natamani kukutana na member wa humu.. I envy you jg
 
mmmmhhhhh mboni kawaida tu kukutana na member wenzako hapa anatafutwa sana BT sijui ntamuonea wapi..
 
Ukitaka kukutana na mimi napatkana sana makirikiri bar buguruni kwa mnyamani
 
Mbona mimi mmenibagua jamani? Kwa vile nilisema ningekuja na Paw? Tukiwa mtaani hapigi ban.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…