nakukumbusha tu kuwa nilishakutaliki usipoteze muda wako kujadili na mimi:
https://www.jamiiforums.com/interna...-to-dissenting-rpf-cadres-6.html#post10634149
Ndivyo ilivyo kote duniani isipokuwa siasa ndio zinaleta mambo ambayo yasiyo ya lazima sasa wewe uoni sababu ya wanao ama wajukuu wako kuwekewea priorities hizo kwanza na insurance ya misingi ya kisiasa yenye demokrasia hata Kagame akiondoka madarakani kwa namna yeyote na raisi ajaye awe mhutu au mtutsi priority za walio wengi zibaki vilevile, kama kupinduana wafanye kama Nigeria tu unamtoa raisi madarakani jeshi lina ku-support the people are unharmed. Au tu kuwe na misingi imara yakupokezana kijiti.Happy Feet
In Rwanda there is a lot of tolerance among the populace. Ordinary people just want to be left alone. They just want security, peace, prosperity. They care about education, health care, job opportunities and a better future for their families. And this transcends ethnicities i.e. hutu, tutsi, twa and mixed people.
I for once sincerely believed Kagame needed time to rebuild the nation that was logical lakini vilevile in that time Hutu's need to trust him and Rwandan in general should have a consensus on who is there common enemy kama ukiniuliza mimi sio kikundi cha mtu au mtu bali what they represent in relation to democracy and divisive ideologies.The truth of the matter is only a few detractors want to paint a picture of a people totally subjugated in the hands of a supposed tyrannical leader in Kagame - which in reality is not the case because the man won both elections by over 90% of the total tally. They want us to believe the words of defectors like Kayumba. Where in this World has any sane mind paid attention to exiles?
Mimi binafsi siwezi waunga mkono kwa namna yeyote hiki kikundi kwa ustawi wa jamii alikadhalika ningependa kuona Kagame nurtures a more sophisticated democracy while he is still in office. I am also realistic it takes time but that wont happen if he fails to win trust among the closet members of his government. Kama ata wale uliokuwa nao pamoja no longer see eye to eye with his aims. How are you supposed to win the trust of the nation through democratic persuasions?FDLR are numbering at less than 4,000 whereas there are over 11 million Rwandese most of whom are hutu. Why aren't hutu in Rwanda supporting FDLR? It is because they don't buy into the hateful policies of that genocidal terrorist organization.
Usione aibu kusema wewe Mnyarwanda na mtusi ujajifunza tu mbona watanzania awaoni aibu kusema kwao na makabila yao. Mpaka ukifikia level hiyo ndio utaelewa hoja za mtu kama mimi.Hivi wewe ----- bado unanifuata tuu?unajifanya neutral kumbe tofauti yako na jmali ni majina tuu,i feel sorry for commanche maana anajaribu to reason na bogus kama wewe mimi huo muda mchafu sina,Kagame hana muda na ------ kama wewe na wenzako na wala hakosi usingizi,Rwanda is moving ahead for better na wewe endelea na useless stupid political analysis kujaza page za JF.
Niwe tutsi,hutu,mbongo, Rwandese or American haikuhusu and why are you in my personal business?Usione aibu kusema wewe Mnyarwanda na mtusi ujajifunza tu mbona watanzania awaoni aibu kusema kwao na makabila yao. Mpaka ukifikia level hiyo ndio utaelewa hoja za mtu kama mimi.
Haya swali kwako Kwenyu wapi?
Kusidi next time usichoche watu jukwaa la siasa kwenye siasa ambazo zinaweza kutugawa huku ukijifanya mwenzetu wakati huna nia njema na Tanzania at heart.Niwe tutsi,hutu,mbongo, Rwandese or American haikuhusu and why are you in my personal business?
It is not me who needs the convincing mate, its the Rwandese in ordinary work of life if FDLR is to become a common national enemy.Happy Feet the RPF is an inclusive party.
1. Nenda play store
2. Type badoink video downloader
3. Click install-accept
4. Kisha press link ya hii video, itakupeleka direct kwa browser
5. Right click link or copy URL kisha paste kwa badoink
6. Press go itafunguka
7. Press play, ikifunguka press enlarge itakupa option ya download video, press download
8. Ikimaliza waweza view via video player pia ukashare insta, fb, viber, whatsapp, kik, tango, L, etc
Ukishindwa tupia no yako hapa nikuwhatsapp video hii
jMali,Kusidi next time usichoche watu jukwaa la siasa kwenye siasa ambazo zinaweza kutugawa huku ukijifanya mwenzetu wakati huna nia njema na Tanzania at heart.
Somo la bureKusidi next time usichoche watu jukwaa la siasa kwenye siasa ambazo zinaweza kutugawa huku ukijifanya mwenzetu wakati huna nia njema na Rwanda at heart.
jMali anakupa "like" lakini "haoni kundule"Kusidi next time usichoche watu jukwaa la siasa kwenye siasa ambazo zinaweza kutugawa huku ukijifanya mwenzetu wakati huna nia njema na Tanzania at heart.
I have no doubt ni Mtanzania mzalendo kabisa.jMali anakupa "like" lakini "haoni kundule"
I have no doubt ni Mtanzania mzalendo kabisa.
First you got to change the spin of the earth, some things are caused by effects of the other same way loyalty defines a character.The way i have no doubt that the sun rises in the west.